Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Half time 2goals mbele but nahofia hizi yellow zimekuwa nyingi unnecessary zitatucost
Wawatoe hawa wenye yellows
Half time 2goals mbele but nahofia hizi yellow zimekuwa nyingi unnecessary zitatucost
Hili tangazo la glo linanichekesha sana kwakweli.
Pengo la Suarez liko wazi pale
Hii Liverpool kipindi wamemuuza Alonso walikaa misimu kama 3 mpaka kuja kuziba Pengo lake, Sasa la Suarez sijui itachukua muda gani kuziba
Umevutika na mabonge?
Tena kubwa sana, Duh mchezaji mmoja tu anaweza kuwa na impact kubwa kiasi hicho. Sikukubaliana nao walipokubali aende Barcelona kwani wangeweza kabisa kumshawishi abaki, sasa inakula kwao.
Baloteli kaingia.....
Inabidi Fellini atoke aingie Herrera,tuwafunge goli mbili haraka then tufanya sub ya Evans/Jones aingie McNair/Blackett Falcao for Rooney