everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
L'pool walianza vizuri sana, I hope hili goli halitawakatisha tamaa na kuanza kukimbia kimbia hovyo kama hawajui nini cha kufanya.
Wameeamka hao!! Kama ulivyosema jana kitimoto eeeh acha tu hapa ni balaaa!!