Kituuuuuuuuuu
Jioni kuhesabu faida
zonal marking inawaua sana liverpool
Tunahitaji cha tatu kabla hatujaenda half time.
Kwa Liverpool hii sioni hata kama wanaweza kupata draw labda waongezwe
hizi kadi za njano mbaya sana
Rooney vipi tena embu tulieni jamani rafu zitatucost.