mie chelsea. ila mnatakiwa kukaza buti. mechi ngumu sana hii. matokeo yanaweza kuwa sare ya 1-1.
Biashara asubuhi go on the united......
Enjoy the game guys, good luck and all the best.
Ohhh!! Ngoja mechi iishe ntakwambia ujumbe wako.....
Hope tutatoka salama tuimarishe ulinzi tu,siku ya jana nilipata furaha sana nataka itimilike leo zaidi,go on Man U hope u will never let us down.....
kazeni buti bado mapema sana. ombeni sasa msipewe kadi nyekundu maana itakuwa balaa.
kazeni buti bado mapema sana. ombeni sasa msipewe kadi nyekundu maana itakuwa balaa.
Biashara asubuhi go on the united......
Nahisi kadi nyekundu inaweza kwenda kwa fellain. Jamaa ana fujo sana
Hope hatutajiSmalling...kweli bana mi nataka wachomeke na lingine na lingine na lingine,hahahahaha!!
Nahisi kadi nyekundu inaweza kwenda kwa fellain. Jamaa ana fujo sana