Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Man U tupeni raha mashabiki wenu,kila la heri katika mechi ya leo,mwendo mdundo hakuna kurudi nyuma.
Mahasimu ni leo
Man U tupeni raha mashabiki wenu,kila la heri katika mechi ya leo,mwendo mdundo hakuna kurudi nyuma.
Mahasimu ni leo
Yaani acha tu,naamini tutaendeleza kipigo tuombee tu hilo maana wana usongo nasi vibaya mno.
Mbaya zaidi mahasimu karibia wote wameshinda. We need to win this game.
Mhhh!! Hawa watu wanataka kuchafua hali ya hewa mapema.
leo mnalo hahahahah
mie chelsea. ila mnatakiwa kukaza buti. mechi ngumu sana hii. matokeo yanaweza kuwa sare ya 1-1.Mhh!! Hapana tutashinda hii game,wewe timu gani vile...? Jana ulinipa kampani nzuri sana leo duh!!
Kituuuuuuuuuuuu