Hivi wadau?,huu mwaka naona majeruhi wa timu ni wengi sana kuliko miaka yote...unakuta anapona mmoja wanaumia wawili,yule kocha wa viungo aliyekuwa anafanya kazi na babu na yeye walimtimua nn?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hee kwani vipi? Siyo kweli?
ni taarifa za kweli ila anahofia zitawaua washabiki wa liverpool kwa kihoro.......
Hivi wadau?,huu mwaka naona majeruhi wa timu ni wengi sana kuliko miaka yote...unakuta anapona mmoja wanaumia wawili,yule kocha wa viungo aliyekuwa anafanya kazi na babu na yeye walimtimua nn?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Full draw:
Arsenal v Hull City
Southampton v Ipswich
Stoke v Wrexham
Charlton v Blackburn
Dover v Crystal Palace
AFC Wimbledon v Liverpool
Manchester City v Sheffield Wednesday
Aldershot/Rochdale v Nottingham Forest
West Brom v Gateshead
Blyth Spartans v Birmingham
Aston Villa v Blackpool
Rotherham v Bournemouth
Huddersfield v Reading
Oxford/Tranmere v Swansea
Cardiff v Colchester
Bolton v Wigan
Sunderland v Leeds
Burnley v Tottenham
Millwall v Bradford
Derby v Southport
Brentford v Brighton
Fulham v Wolves
Leicester v Newcastle
Scunthorpe/Worcester v Chesterfield
Everton v West Ham
Cambridge/Mansfield v Bury/Luton
Chelsea v Watford
Barnsley/Chester v Middlesbrough
QPR v Sheffield United
Accrington/Yeovil v Manchester United
Preston v Norwich
Doncaster v Bristol City
thanx in advance sir
Asante sana mkuu maana walitaka kunichanganya kidogo.....
Tatizo linaonekana ni mfumo wa mazoezi kocha anatoa mazoezi mazito sana na wengi hawakuwa wamozea so Majeruhi ni wengi kwa sasa ila itafika wakati watazoea tu
Leo tunashinda 3-2.
Huwa napata shida sana kuamini hilo la mazoezi magumu, kwa sababu wachezaji wote walio majeruhi waliumia kwenye mechi na sio mazoezini.
Haya magazeti ya Uingereza huwa yanapenda sana kuzusha mambo na kutaka yaaminike hivyo, tangu Welbeck aondolewe Man United waandishi wa Uingereza wamekuwa kinyume sana na LVG.
Ova

Mechi ya leo ni extra ordinary. Man utd beki yetu sio stable ni rahisi kuruhusu goli. Pia foward zetu zina uwezo mkubwa wa kufunga.Sijui kama Liverpool wataweza kufunga zaidi ya goli 1 kwenye goli letu leo. Na sioni Kolo Toure atakavyoweza kuwazuia RVP na Rooney wasifunge mabao leo.
Ushindi kwa United uko wazi leo.
Ova
Mechi ya leo ni extra ordinary. Man utd beki yetu sio stable ni rahisi kuruhusu goli. Pia foward zetu zina uwezo mkubwa wa kufunga.
Wakuu hivi game inaanza saa ngapi ?
Saa kumi na nusu kwa saa za Bongo.
Ova
Ni kweli Carrick kaleta uhai katika defensive midfield. Lakini hiyo haitoshi tunahitaji centre back kam Hummels. Mechi ya leo 3-2.Wajua Carrick ameleta uhai Mpya kwenye ulinzi, kiungo chake kimekuwa kikisaidia sana ulinzi na ndio maana tangu arejee kikosini hatujapoteza mchezo.
Ova