Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Football fun unaangalia any competative game ukipata nafasi, au wewe ndio wale mpaka timu zao zicheze ndio waangalie mpira?

Rudi darasani ujifunze kutofautisha kati ya fun na fan... akili mgando, ndio maana ukakurupuka na viroja. Chelsea mnachukua CL kwa mbinu chafu hakuna aliyetoa mapovu
 
ahsante kwa kunirekebisha hapo kwenye FAN /FUN, ila ungesoma hizo hoja zilipoanzia naamaini ungeelewa zaidi,
Chelsea were lucky to win UCL wala sibishi kwenye hilo, ila its the same to your time now, unless unapingana na statistics za mechi zenu za karibuni
 
Zipi?? Kama tuna 3 shoots on target alafu 2 ni magoli huoni we are accurate?? Ball Possession dhidi ya Arsenal ni almost the same maana difference haizidi 10%, same story na SOTON hawakutuzidi sana na jana tulicheza defensive game. Tuna majeruhi lukuki, hatuwezi pambana 100% na timu ambayo tunajua they can make a single mistake which can benefit us, that's the philosophy. Hizi timu ndogo huitaji kutumia nguvu nyingi, waache wacheze wewe pata nafasi chache tumia zote vizuri. Angalia game ya Chelsea na Man City jinsi tulivyofunguka, ni kwasababu tulijua hizo ndio timu tunazopambana nazo kukaa pale Top 4. Arsenal amekua na shoots on target average 7 kwa kila mechi lakini waangalie walipo..
 
Only 53 kwa 47
 
Attachments

  • 1418114661181.jpg
    1418114661181.jpg
    47.4 KB · Views: 100
Zipi?? Kama tuna 3 shoots on target alafu 2 ni magoli huoni we are accurate?? Ball Possession dhidi ya Arsenal ni almost the same maana difference haizidi 10%, same story na SOTON hawakutuzidi sana na jana tulicheza defensive game. Tuna majeruhi lukuki, hatuwezi pambana 100% na timu ambayo tunajua they can make a single mistake which can benefit us, that's the philosophy. Hizi timu ndogo huitaji kutumia nguvu nyingi, waache wacheze wewe pata nafasi chache tumia zote vizuri. Angalia game ya Chelsea na Man City jinsi tulivyofunguka, ni kwasababu tulijua hizo ndio timu tunazopambana nazo kukaa pale Top 4. Arsenal amekua na shoots on target average 7 kwa kila mechi lakini waangalie walipo..

wote huwa tunachapia, lugha hii wengi tumejifunzia ukubwani sidhani kama na wewe unahitaji kurudi shule kujua tofauti ya SHOTS na SHOOTS....ni shots on target and NOT shoots on target.....u shoot to get shot on target.
 
Siongezi neno hapa

tangu msimu huu umeanza jana ndio nimemuona Van Persie akicheza football....suddenly jana alikuwa ana energy ajabu,anakaba anakimbia almost uwanja mzima tofauti na mechi zilizopita ambazo alikuwa so lethargic!! kumbe LVG alikuwa anajua anachofanya kuendelea kumpanga amebadilika sana mechi hii
 
Mechi ya jana ilikuwa ngumu sana nashukuru Mungu tuliweza kutoka na point tatu kibindoni.
 
Hongereni Wakuu humu kwa ushindi mnono pamoja na kuwa performance yenu si ile niliyoizoea kuiona toka kwa timu yenu.

CC: everlenk, Nzi, Bulldog na wengine kwenye jukwaa hili.

Asante sana BAK,jana nilichoka sana hata sikuiona mechi kwa hapo no comment,but naona kiwango hakikuwa kizuri kulingana na maoni ya wengi hata highlight nilizozipitia zaonyesha haikuwa poa sana,lakini ninachoshukuru na kufurahia pamoja na hayo yote wamenipa raha ya 3 points na sasa tuko pazuri kuelekea pale namba 1,Lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
tangu msimu huu umeanza jana ndio nimemuona Van Persie akicheza football....suddenly jana alikuwa ana energy ajabu,anakaba anakimbia almost uwanja mzima tofauti na mechi zilizopita ambazo alikuwa so lethargic!! kumbe LVG alikuwa anajua anachofanya kuendelea kumpanga amebadilika sana mechi hii

yeah.. jana alicheza poa sana.. amerudi kuwa RVP wa zamani.. na yale magoli ya jana ndo utambulisho wake
 
Asante sana BAK,jana nilichoka sana hata sikuiona mechi kwa hapo no comment,but naona kiwango hakikuwa kizuri kulingana na maoni ya wengi hata highlight nilizozipitia zaonyesha haikuwa poa sana,lakini ninachoshukuru na kufurahia pamoja na hayo yote wamenipa raha ya 3 points na sasa tuko pazuri kuelekea pale namba 1,Lol

STATS za jana ndio hizo.
 
Last edited by a moderator:
wote huwa tunachapia, lugha hii wengi tumejifunzia ukubwani sidhani kama na wewe unahitaji kurudi shule kujua tofauti ya SHOTS na SHOOTS....ni shots on target and NOT shoots on target.....u shoot to get shot on target.

hahahaha mkuu hiyo double 'O' haikua nia yangu kuiweka, labda ni kwasababu niliandika fasta tu
 
Zipi?? Kama tuna 3 shoots on target alafu 2 ni magoli huoni we are accurate?? Ball Possession dhidi ya Arsenal ni almost the same maana difference haizidi 10%, same story na SOTON hawakutuzidi sana na jana tulicheza defensive game. Tuna majeruhi lukuki, hatuwezi pambana 100% na timu ambayo tunajua they can make a single mistake which can benefit us, that's the philosophy. Hizi timu ndogo huitaji kutumia nguvu nyingi, waache wacheze wewe pata nafasi chache tumia zote vizuri. Angalia game ya Chelsea na Man City jinsi tulivyofunguka, ni kwasababu tulijua hizo ndio timu tunazopambana nazo kukaa pale Top 4. Arsenal amekua na shoots on target average 7 kwa kila mechi lakini waangalie walipo..

Majeruhi sawa ,ia hakuna team inayoplan kuwa na 2 or 3 shots on target kwa dakika tisini,
hivi huyu Falcao anendelea kulipwa mshahara ?
 
Ni aje lakini? Usijirushe kupita kiasi 🙂🙂

Asante sana BAK,jana nilichoka sana hata sikuiona mechi kwa hapo no comment,but naona kiwango hakikuwa kizuri kulingana na maoni ya wengi hata highlight nilizozipitia zaonyesha haikuwa poa sana,lakini ninachoshukuru na kufurahia pamoja na hayo yote wamenipa raha ya 3 points na sasa tuko pazuri kuelekea pale namba 1,Lol
 
Asante sana mkuu Ntuzu nilikwambia tutashinda,sasa bado kidogo tukutoe hapo juu hahahahaha!!!

Haki ya nani kunitoa hapo juu everlenk hamuwezi! Wewe Hiyo nafasi ya tatu unastahiri kuwepo mpk ligi inakwisha! Yani ukinipita Mimi Ukawa juu yangu msimu huu nakula majalalani km Nzi hahahaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom