Kyaiyembe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 1,713
- 670
Mtanisamehe ila leo nawaombea mabaya...
Ndugu Mungu yuko bize akisikiliza maombi ya wenye mioyo safi isiyo na roho za husuda kwa mafanikio ya wengine.
Kama wewe ni mmoja wao umesikilizwa
Mtanisamehe ila leo nawaombea mabaya...
Jaman FA ratiba imetoka uko
Tumepangiwa nani?
Wazima humu ndani?