Mkuu Nzi chama leo lilitulia na kutandaza mpira wa kujiamini ambao sijauona kitambo tangu kuondoka babu. Habari mbaya ni kuumia kwa di maria na Rooney. Natumaini majeraha sio makubwa
Asante sana sasahivi ni mwendo mdundo
Haya kila la heri, nilikuwa naangalia mechi ya Chelsea na Sunderland nilijua Chelsea wana 3 points nyingine lakini kwa mshangao wangu wameshikwa shati na karibu wapoteze mchezo. Ilikuwa mechi nzuri sana yenye mashambulizi makali katika kila goli. Mounriho atakuwa kanuna leo, maana pamoja na kujua kwamba kuna baadhi ya mechi hawatachukua points zote tatu sidhani kama hii mechi ya leo aliiweka kwenye kundi hilo.
Mkuu BAK labda haukufatilia habari vzr kabla ya mchezo wa Chelsea na hiyo Sunderland. Mourinho hao Sunderland alikua anawaogopa sn kwasababu msimu uliopita walitufunga hao.. Kwahiyo amekwenda kwao kwa tahazari kubwa.
Mkuu Ntuzu sijawahi kumsikia kocha yeyote akisema, "Hii leo ni mechi rahisi ni lazima tushinde" Hawa Sunderland wiki mbili zilizopita walitundikwa bao chungu nzima wameanza kucheza vizuri ila matokeo haya ya leo wengi hatukuyategemea hasa ukitilia maanani jinsi Chelsea walivyoanza vizuri msimu huu wa 2014/2015.
Diego Costa, who could have been sent off in the first half for clashing with John O'Shea, was booked for catching Wes Brown in the face with his arm - making him suspended for their game with Tottenham.
The result was a shock for those who expected Jose Mourinho's Blues to continue their seemingly relentless surge towards the Premier League title.
BBC Sport - Sunderland 0-0 Chelsea
Sijaiona game, ila kwa highlights nilizoona, inaonekana timu imecheza vizuri...
Game ijayo Stoke City inabidi apigwe, ili twende St. Mary's tukiwa vizuri...
#GGMU
Mkuu Ntuzu sijawahi kumsikia kocha yeyote akisema, "Hii leo ni mechi rahisi ni lazima tushinde" Hawa Sunderland wiki mbili zilizopita walitundikwa bao chungu nzima wameanza kucheza vizuri ila matokeo haya ya leo wengi hatukuyategemea hasa ukitilia maanani jinsi Chelsea walivyoanza vizuri msimu huu wa 2014/2015.
Diego Costa, who could have been sent off in the first half for clashing with John O'Shea, was booked for catching Wes Brown in the face with his arm - making him suspended for their game with Tottenham.
The result was a shock for those who expected Jose Mourinho's Blues to continue their seemingly relentless surge towards the Premier League title.
BBC Sport - Sunderland 0-0 Chelsea
Sunderland walikua wamejiandaa vzr hasa ktk mfumo wa kujilinda maana walikua watu 9 ktk jukumu Hilo ktk eneo Lao na kufanya mpira usitiririke vzr na kubana mianya yote ambayo ingepelea kufungwa.
Vyombo vya habari Nafahamu vitaandika mambo mengi kutokana na matokeo ya Leo Lkn binafsi Mimi ingawa Nilikua na matumaini ya kushinda Huu mchezo Lkn Nilikua Nafahamu wazi kua Huu mchezo utakua mgumu hasa kutokana na Sunderland walivyo..!
Anyway sio mbaya sn ingawa hatujashinda..!
mkuu hii ni man utd threa kuzungumzia chelsea vs sunderland hapa sio mahali pake....hapa unaruhusiwa kuongea chochote kinachohusisha man united eg man utd vs cheldea,man utd vs sunderland lakini chelsea vs sunderland hio ni ya jukwaa la chelsea au sunderland.
Hiyo sheria ya wapi?
sio sheria ni common sense...thread ya man utd huwezi kuja kujadili chelsea vs sunderland sio mahali pake.
Hakuna hicho kitu na Km ni hivyo muwe mnajadili mambo ya timu yenu tu bila kutaja Au kuandika timu zingine..!
Alafu na wewe usijifunze umbwiga Km wa mashabiki baadhi wa Liverpool kuwawekea watu mipaka.