Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi yenu ya jana imenikumbusha mechi mliyocheza na QPR (or was it Crystal Palace..ile mliwafunga 3 - 0).
 
usipanic.....hivi sunderland vs chelsea kwenye man utd thread inakujaje?? tena mnaweka na link za match report za chelsea vs sunderland. unaruhusiwa kuongea chochote as long as kinaruhusu man utd kwani ndio lengo la uzi huu.

Ngoja niseme nakubali kwamba tuongee chochote kile kinahusu Man Utd Lkn nyie ktk hoja zenu msizitaje wala kuziandika tumu zinging.. Km mnaweza kufanya hivyo sawa. Lkn Km mtataja timu zingine hasa Chelsea yangu nikikuta hiyo post ktk thread yenu lazima niijibu bila kujali niko ktk thrad gani Km nilivyokuta ya mkuu BAK
 
Last edited by a moderator:

ukizungumzia chelsea wazuri kuliko man utd ni sawa coz hapo umeihusisha man utd....au ukikuta mimi nasema chelsea hawaifikii man utd kwa history na success ni sawa tu ukichangia na kuizungumzia chelsea lakini chelsea vs sunderland hio sio mahali pake hapa
 
Hakuna kuwekeana mipaka ktk jambo ambalo halivunji sheria za Jf.
 
wewe andika unachotaka sikuzuii ila ujue chelsea vs sunderland hapa sio mahali pake.

Nitaandika vyovyote vile niwezavyo bila kujali niko ktk thread gani maadamu sivunji sheria za Jf na za nchi pia.
 
Naaaaa!!!!! We have been doing this for years, mentioning another team for example MANU in Arsenal thread. When did you become a MOD to dictate procedures on this forum!?

i think this belongs to Chelsea thread.....u can mention chelsea but attaching a link about chelsea vs sunderland match report not really man utd thread material.
 
Naaaaa!!!!! We have been doing this for years, mentioning another team for example MANU in Arsenal thread. When did you become a MOD to dictate procedures on this forum!?

i said what u posted belongs to chelsea thread[chelsea vs sunderland match report].... i didnt stop u from doing that,but again chelsea vs sunderland is not man utd thread material.
 
Wait until you are selected as MOD to create your own procedures when it come to posting, but for the time being you don't have that authority.

dont over react brother.....post whatever u want im not stopping u but chelsea vs sunderland match report is not man utd thread material.
 
Huna mamlaka hapa ya kuamua nini kiwe posted kwenye uzi upi? Kitu gani ambacho unashindwa kuelewa!? Kwani MODS hawajaona hii post yangu mbona hawajatia neno?

kwani wewe kipi usichoelewa??? nimekwambia post chochote utakacho ila hicho ulichopost hapa sio mahali pake....post tu hata mara mia ila hapa sio mahala pake...mods mods....mods kitu gani bana
 
Nisichoelewa wewe nani hapa mpaka ujipe mamlaka ya kuwaambia watu kipi kinastahili kuwa posted katika uzi upi? UMOD umepewa lini? Kama huna mamlaka ya kufanya hivyo basi peleka malalamiko yako kwa MODS au kaa kimya.

hivi kila kitu ni mpaka mods??hio mods unaona big deal??? vitu vingine tunaelezana tu sio kila kitu mods aseme,habari ya chelsea sunderland peleka thread ya chelesa au sunderland huko...
 
Usituletee utaratibu ambao hauko, hukupenda kitu kuna kitufe "Report Abuse" kisha peleka malalamiko yako kunakohusika badala ya kujipa mamlaka usiyokuwa nayo. Hivi unadhani watu wangapi wameiona hiyo post yangu? Mbona hawakulalama? Watu wengine bhanaaa Dah!!!!

Kuna mtu anaitwa Michael Carrick, ambaye mara nyingi huwa hatajwi sana, lakini anapokuwa uwanjani Man United inakuwa kwenye kiwango bora sana.
Na huyu jamaa anapokuwa nje ya uwanja ndipo Man United hupoteza mwelekeo, msimu uliopita kwa kipindi kirefu jamaa alikuwa majeruhi na timu ikapoteza mwelekeo.
Carrick ni kiungo mkabaji wa maana sana, ndiye aliyekuwa akimfanya Paul Scholes kuwa huru kupiga pasi na wakati mwingine kusogea jirani zaidi na lango la timu pinzani.
Na sasa amerejea uwanjani timu imepata ushindi wa tatu mfululizo kwenye ligi kuu baada ya kupita kipindi kirefu. Safu ya ulinzi imeonekana kuwa na utulivu sana toka mkabaji Carrick arejee uwanjani.
Ova
 
Yaan namuelewa sana carras 16 na hvyo ss hv kaongezewa na felly31 duuh mbele herera asee si mchezo... Timu iko poa sana arudi tuu shaw na rafael and blind asee i cant wait dat
 
Usituletee utaratibu ambao hauko, hukupenda kitu kuna kitufe "Report Abuse" kisha peleka malalamiko yako kunakohusika badala ya kujipa mamlaka usiyokuwa nayo. Hivi unadhani watu wangapi wameiona hiyo post yangu? Mbona hawakulalama? Watu wengine bhanaaa Dah!!!!

usiambiwe wewe nani?? umeshikilia mamalaka mamlaka....mamlaka yatakuwa humu??? wangapi humu wanaambiwaga hiki ulichoweka humu peleka jukwaa fulani tena na member wa kawaida tu na sio hao mods sijui unaowaona big deal??? ndio nishakwambia hiio post yako hapa sio mahali pake whether utaendelea kupost au utaacha ni uamuzi wako kama ulivyoshikilia bango mimi sio mod wala sina authority.
 
Hahahahahaha lol!!! Contradiction ya nini? sasa kwi kwi kwi kwi unadai hapa hakuna mamlaka halafu unataka kujipa mamlaka ya kuniamulia mimi wapi nipost kitu gani!? hahahahaha....ungekuwa MOD ungeweza hata kunipa ban kwa kukiuka mamlaka yako ya kupost habari za Chelsea kwenye uzi wa MANU kitu ambacho nimeshafanya mara nyingi sana katika nyuzi hizo za MANU, ARSENAL na CHELSEA na hakuna yeyote aliyetokwa na povu kama wewe, hivyo endelea kutokwa na povu zito.

anaetoka povu hapa anaonekana ni wewe hata ukiangalia post zote zilizopita....post hii ndio unajichekesha hapa.
 
Back
Top Bottom