Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu Kitoabu ndani ya Nyumba....! Safi sn mkuu.

Dua zetu mpk sasa msiwe na majeruhi. Yani timu yenu iwe full ngwamba ndo tukutane pasiwe na sababu Za kulia lia.
Arafu sisi haijalishi tuna majeruh wala nini. Tukipungua, tukitimia moto ni uleule tu. Siunakumbuka msimu uliopita tuliakua spana mkononi lakini haukutufunga nyumbani kwetu, sembuse msimu huu, ninakila zana? We njoo ukijua unaenda kupana na mwanamme alie baleh sio kama wavulana ulio wafunga week iliopita.
 
Last edited by a moderator:
Man u waliocheza na Leicester kipindi cha kwanza wanaongoza 2-1,wakarudi uwanjani wakapata ya 3,mara pwaaah 3-2,Mara pwaaah imesawazishwa ,Mara nyavu tena 4-3,Mara pwaaah lala 5-3 wakawa broken heart.
Nye wakumzua Costa au hazard?

Give me a break

Huyo Ndio Viol ktk wajibu wake...!

Cc: Mentor agosti 8 kunguru mjanja kalou Grand PA
 
Last edited by a moderator:
Arafu sisi haijalishi tuna majeruh wala nini. Tukipungua, tukitimia moto ni uleule tu. Siunakumbuka msimu uliopita tuliakua spana mkononi lakini haukutufunga nyumbani kwetu, sembuse msimu huu, ninakila zana? We njoo ukijua unaenda kupana na mwanamme alie baleh sio kama wavulana ulio wafunga week iliopita.

Mkuu naona ushaanza kuingiza utetezi kisirisiri,hapo ndo udhaifu wenu
 
Arafu sisi haijalishi tuna majeruh wala nini. Tukipungua, tukitimia moto ni uleule tu. Siunakumbuka msimu uliopita tuliakua spana mkononi lakini haukutufunga nyumbani kwetu, sembuse msimu huu, ninakila zana? We njoo ukijua unaenda kupana na mwanamme alie baleh sio kama wavulana ulio wafunga week iliopita.

Hahahaaaa mkuu Kitoabu naona sasa unawavunjia adabu mashabiki wa Arsenal...!

Aya mkuu mi sina maneno sn mkuu..!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh wanamtegemea Rafael halafu mechi iliyopita si ana kadi nyekundu au?

Mkuu Viol inabidi tumuombe mkuu Nzi atusaidie kupanga timu Yake ktk nafasi ya mabeki na viungo Maana kwa kule mbele tunawafahamu Vzr.

Nzi tusaidie mkuu...!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Viol inabidi tumuombe mkuu Nzi atusaidie kupanga timu Yake ktk nafasi ya mabeki na viungo Maana kwa kule mbele tunawafahamu Vzr.
Nzi tusaidie mkuu...!

Hi I BAK yupo?maana sijamwona tangu 2-0
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu..! Nawaombea kwa Roho safi kabisa msiwe na majeruhi Tuone mpira mzuri chini ya makocha bora kabisa..! Maana hiyo game ni km ukaribisho kwa Van Gaal ktk EPL. hivyo vitimu vidogo mlivyocheza navyo si sn vile...! Upo hapo mkuu wangu?

Marked
 
Mkuu Viol inabidi tumuombe mkuu Nzi atusaidie kupanga timu Yake ktk nafasi ya mabeki na viungo Maana kwa kule mbele tunawafahamu Vzr.

Nzi tusaidie mkuu...!

Kazi ya kocha hiyo, si yangu eboo!
 
Last edited by a moderator:
Kazi ya kocha hiyo, si yangu eboo!

Nimekupata mkuu..!

Ila msituchoke mkuu...! Ndio tumeanza mdogo mdogo safari ya kuja OT tarehe 26.

Pamoja sn mkuu Nzi
 
Last edited by a moderator:
Nimekupata mkuu..!

Ila msituchoke mkuu...! Ndio tumeanza mdogo mdogo safari ya kuja OT tarehe 26.

Pamoja sn mkuu Nzi

Mnakaribishwa sana; mwaka hana pamoja na timu yetu mbovu Maureen alikuja kupaki basi.

Safari hii naamini hatapaki basi; itakuwa mperampera mwanzo mwisho. Itakuwa burudani na roho mkononi kwa timu zote mbili.
 
Last edited by a moderator:
man u hata wakiwafunga magoli kumi timu pinzani wakiamua kufunguka na kushambulia kwa kasi yanarudi yote , hakuna beki pale yenye uwezo wa kuhimili pressure . Huwezi kuchukua mabeki toka timu b waje wacheze bpl.
 
Mnakaribishwa sana; mwaka hana pamoja na timu yetu mbovu Maureen alikuja kupaki basi.

Safari hii naamini hatapaki basi; itakuwa mperampera mwanzo mwisho. Itakuwa burudani na roho mkononi kwa timu zote mbili.

Asante mkuu..!

Yah safari hii tutegemee kuona burudani nzuri kabisa.
 
Back
Top Bottom