privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,446
- 1,282
De gea kyna muda anafanyaambo adimu anatulia
Save kama nne za maana moja ikiwa penalty..!!
De gea kyna muda anafanyaambo adimu anatulia
.......... Zenu Hongereni sana Wakuu, mmeponea chupu chupu kugawana points.
.......... Zenu Hongereni sana Wakuu, mmeponea chupu chupu kugawana points.
Nakusubiri badaye kwa Arsenal nawe watokaje.
hahaaaa acha kabisa mimi nahisi nahitaji glucose kwa ss baada ya mechiMkuu nzi maliza mpira wengine tupo taifa stadium kimwili tu ila kiroho tupo OT presha inapanda mpk 200/110
Kumbe ulikuwepo? LoL!!! Ila ukaamua kujificha!!!! Hahahahaha Chezeya kichapo weye, haya ila nakuhakikishia leo ushindi mnono 3-2
hahaaaa acha kabisa mimi nahisi nahitaji glucose kwa ss baada ya mechi