Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

point 3, goli 3.... ligi hii noma inaweza amuliwa kwa tofauti ya magoli!.... vijana wamecheza vizuri.

Naam huo ndiyo ukweli kwamba bingwa wa msimu huu anaweza kupatikana kwa tofauti ya magoli, hivyo timu zote tatu zenye nafasi ya kuutwaa ubingwa zitajitahidi kila liwezalo ili kufunga magoli mengi kadri itakavyowezekana katika mechi zilizobaki. Hadi sasa kwa magoli ya kufunga Arsenal tunaongoza kwa kufunga magoli 71. MANU wanafuatia kwa kufunga magoli 70 na Chelsea wana magoli 69. Kwa magoli ya kufungwa MANU wamefungwa magoli machache 24 tu wakifuatiwa na Chelsea waliofungwa magoli 27 na sisi tumefungwa magoli 33.
 
duhh ManU ni balaa.....hongereni wakuu Belo,Manda na Icadon
 
Khe khe kheeeeee tusubiri Ijumaa tuone zipi mbivu. Manure a one man team, imekuwa balaa sasa na huyu Rooney ambaye bado siku chache atakwenda kwenye meza ya madaktari na metatarsal yake kuwa hoi.
Acha kuongea pumba wewe, again we are back on top
 
As usual Rooney lazima atumbukize goli 32 hadi sasa, imebaki kuwafunga Chelsea tutangaze ubingwa
 
As usual Rooney lazima atumbukize goli 32 hadi sasa, imebaki kuwafunga Chelsea tutangaze ubingwa

We acha tu!
Wana hasira na sisi hao Blues ile mbaya!
 
Tukiwafunga Chelsea tu tutatwaa ubingwa hata kama tukifungwa na Liverpool,Arsenal wataambulia nafasi ya 2 au ya 3
 
haya wadau wa MAN UTD tumepangiwa bayern munich,mnaonaje??
maoni yangu ni kuwa tutapita ingawa itakuwa very close tie,bayern wamestruggle kuwatoa fiorentina,they are not as good as barcelona or gunners
 
Tukiwafunga Chelsea tu tutatwaa ubingwa hata kama tukifungwa na Liverpool,Arsenal wataambulia nafasi ya 2 au ya 3

inabidi tushinde vs liverpool hio itasend msg kwa chelsea kuwa sisi ni nani,pia naamini tukiwafunga liverpool na chelsea tutakuwa deserved champs.
 
Naiona fainali Benabeu ileeeeeee....🙂.
Couldn't be better...Man/Bayern v/s Lyon/Bordeaux
 
Naiona fainali Benabeu ileeeeeee....🙂.
Couldn't be better...Man/Bayern v/s Lyon/Bordeaux

Naweza kutishika kidogo na mpira wa hizo timu mbili za Ufaransa, mpira wao umetulia sana. Wanaweza kutupa maumivu ya kichwa!
 
Naweza kutishika kidogo na mpira wa hizo timu mbili za Ufaransa, mpira wao umetulia sana. Wanaweza kutupa maumivu ya kichwa!

Mkuu hapa mi nawaza kisasi tu....perfect revenge!
 
Wafaransa kwa Man Utd naona kama Chatu na mbwa vile sijui wenzangu sitegemei usumbufu kwao..ila adv yetu kwa barca ni April 6, kwenye marudiano nao kwenye Theater of dreams..Tunarecord nzuri kiasi kwa sasa kwenye game za nyumbani
 
Kauli kama hizi lazima zitakuwepo kuelekea kwenye U champion..mpate Rais mwenyewe anapata Jakamoyo

Bayern chairman Karl-Heinz Rummenigge: "Manchester are a team who are ranked right at the top. We will have to push ourselves to our limits and possibly even beyond to go through. Manchester are the favourites, but that is where the attraction lies: to try to beat a favourite."
 
Mkuu hapa mi nawaza kisasi tu....perfect revenge!

Wafaransa kwa Man Utd naona kama Chatu na mbwa vile sijui wenzangu sitegemei usumbufu kwao..ila adv yetu kwa barca ni April 6, kwenye marudiano nao kwenye Theater of dreams..Tunarecord nzuri kiasi kwa sasa kwenye game za nyumbani

Kwi kwi kwi!
Msinikumbushe maumivu ya Barca mwezi Mei mwaka jana.
Naombea tusikutane nao mwaka huu.
Kwa mwaka huu wanaanza na watani wetu Arsenal, kwenye robo fainali, wanakumbushana fainali za mwaka 2006!
 
Katika maumivu yote ni lile Goli la pili alilopiga messi Nilidhan anasumaku alipoganda juu kuusubiria ule mpira wa alves uje kwenye kichwa chake...Tatizo dogo messi anacheza vyema kweye club yake kutokana na maelewano waliyonayo ila kwenye National team haoneshi uwezo wake.. tumsubirie WC...WOZA
 
If we can only win the next 3 EPL games. We will be pretty close to the double win.
 
Habari njema..,Owen Hagrieves karibu anarudi kwenye full action.,amecheza mechi ya reserves kwa half nzima.
 
Attachments

  • picsrv_manutd_com.jpg
    picsrv_manutd_com.jpg
    53.5 KB · Views: 24
  • picsrv_manutd_com..jpg
    picsrv_manutd_com..jpg
    42 KB · Views: 28
  • picsrv_manutd_com...jpg
    picsrv_manutd_com...jpg
    40.7 KB · Views: 28
  • picsrv_manutd_com.....jpg
    picsrv_manutd_com.....jpg
    27.9 KB · Views: 32
Kama tukimtoa Bayern tutafika fainali ,jamaa wana (Roben & Ribery) wako safi kwa sasa
 
Back
Top Bottom