Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu... hodi sana humu, najua mna furaha sana maana jana niliona mvua ya mawe... HONGERENI!!

Ila msisahau kutukumbuka katika sala zenu maana mgonjwa wetu (Liverpool) hajajigeuza tangu jumapili na mitungi ya gesi inaelekea kwisha

YNWA

Mkuu poleni.
Hivi mmekatazwa kubadili daktari (Rafa)? Maana naona ukomo wake umefika.
 
Mimi mnajua sina lalam na wana MANU wote popote pale duniani. Mkishinda siku zote nitawapa pongezi. BJ and company hongereni sana kwa ushindi mkubwa sana….Roooooneeeeyyyyyy huyu kijana ni moto wa kuotea mbali. I hope hawatatokea wachezaji wahuni wamuumize. Nataka sana kumuona nyota huyu akiendelea kufanya vitu vyake kuanzia sasa hadi kwenye World Cup. Kutolewa kwa Real Madrid kumenishangaza sana lakini ndiyo kandanda ilivyo lolote linaweza kutokea karika dakika 90.
 
Nasikikitika kuchelewa kuja javini kusherehekea sikukuu ya mvua ya magoli kama tulivyotarajia. Mimi nilisema kuwa Doctor Rooney amefanya mazoezi na wenzake despite hofu iiyokuwa imetanda juu ya afya yake. Amefanya kile tulichotaka akfanye.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema anaurahia maisha mapya ya Barnebau maana kuna more freedom. Jana ameondoka kiwanjani akiwa kainama huku anatikisa kichwa kamapangaboi. Ronaldo, rudi Old Trafford.
 
Sina comments kwa perfomance yenu ya jana nitaonekana mchawi.
 
Wakuu... hodi sana humu, najua mna furaha sana maana jana niliona mvua ya mawe... HONGERENI!!

Ila msisahau kutukumbuka katika sala zenu maana mgonjwa wetu (Liverpool) hajajigeuza tangu jumapili na mitungi ya gesi inaelekea kwisha

YNWA
Tunaomba tukikutana wiki ijayo msituharibie maana naona Torres kasharudi
 
Mkuu poleni.
Hivi mmekatazwa kubadili daktari (Rafa)? Maana naona ukomo wake umefika.

kale kajamaa sijui kachawi?? inawezekana wakienda kwenye kikao cha kumfukuza wanasahau

daaaaaaaaaaaaaaammmmmmmmnnnn!
 
tatizo mmesema hamna hela ya kumfuka.sasa gharama za kukosa champions league sijui ni ndogo kuliko pound mil 20?
mnaweza kushiriki kombe lenu jipya lakini europa cup.
 
Wakuu... hodi sana humu, najua mna furaha sana maana jana niliona mvua ya mawe... HONGERENI!!

Ila msisahau kutukumbuka katika sala zenu maana mgonjwa wetu (Liverpool) hajajigeuza tangu jumapili na mitungi ya gesi inaelekea kwisha

YNWA
de novo tutakuombea dua zote mkuu manake hizo dua zitanisaidia mie pia.kila la kheri mkuu wafunge wakubwa wote uliobaki nao kuonesha kwamba bado mko fit na matokeo yaliopita ni bahati mbaya tu .
 
kale kajamaa sijui kachawi?? inawezekana wakienda kwenye kikao cha kumfukuza wanasahau

daaaaaaaaaaaaaaammmmmmmmnnnn!

Duh mambo ya bongo hayo. Banitez bado ni kocha mzuri sana kumbuka Wigan sio timu ndogo angalia perfomance yake, ingawa walifungwa magoli 9 - 1 na Tottenham waliwakung'uta Chelsick magoli 3 - 1 vile vile walitoka sare na Man City. Liverpool mlikuwa na majeruhi wengi na mlim-miss Torres.
 
eeerr nafikiri TORRES alikuwemo kwenye kipigo na WIGAN,na yeye ni victim wa kukosa magoli ya wazi siku hio,nawasubiria game ya na LILLE hapa after 20mins inaanza.
 
Torres katoka kwenye majeruhi hawezi kuwa kwenye kiwango chake kabla hajaumia itamchukua mechi kadhaa kurudi kwenye fitness yake. Wachezaji wengi hutofautiana kurudi kwenye level yao angalia Eduardo bado hajarudisha moto wake kabla hajavunjika mguu.
 
1/4 finals.....man utd vs arsenal, mzee hio imekaaje??au u fancy arsenal vs man utd??
 
Mkuu we have got the team to beat anybody. We aren't one man team ... ... .. wachezaji wetu wengi majeruhi ndio hao wanarudi kumbuka Nasri, Walcott, Diaby, Song na Clichy wote hao walikuwa majeruhi kwa muda mrefu na Van Perse atakuwepo end of April kuja ku-rap up ushindi wa kishindo, wanaporudi lazima wapate mechi kuwa fit kwenye kiwango chao. Natumaini ulimsikia Arsene Wenger kwenye press conference yake.
 
Arsenal kwetu ni mdebwedo kama kawaida tutawadunda game zote,kila siku tunawafunga wote kina Song,Walcott,Clichy, Diaby wakiwepo
 
Naomba isitokee draw kama hiyo kwenye 1/4 mana dah fedheha gani watakuwa nayoArsenal msimu huu...nje ..ndani..nje ..ndani si balaa hapo vichapo vinne kutoka kwa timu moja hii itamwondolea credit Wenger..hana njia/uwezo wakuwazuia mashetani wasifanye kile wakipendacho....Gooners tukutane nao Final kama watakuwa na jeuri hiyo
 
Khe khe kheeeeee tusubiri Ijumaa tuone zipi mbivu. Manure a one man team, imekuwa balaa sasa na huyu Rooney ambaye bado siku chache atakwenda kwenye meza ya madaktari na metatarsal yake kuwa hoi.
 
Vipi Manure mpo kick off ndiyo hiyo ... .... mnataka kulipiza kisasi leo kwa Cottagers au vipi?
 
Rooooooneeeeeeyyyyyy!....Hongereni Wakuu wote wa MANU kwa ushindi mnono na kijana anaendelea kufanya vitu vyake. MANU 3-0
 
Back
Top Bottom