Nyaluhusa87
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 1,303
- 262
Dah! Huyu dogo kama kaumia, si balaa hili..
kweli kaumia lakini anaweza akawahi kupona
Dah! Huyu dogo kama kaumia, si balaa hili..
Marefa wamekuwa ***** sana siku hizi dhidi ya United. Sasa Downing hata hajaguswa, Herrera kapewa yellow!!
....na wewe ukitukana tena utapigwa yellow card,.... :coffee:
Hapa la msingi ni kukomaa na ushindi tu..hata timu ikirudi nyuma yote, poa tu.
....hahhah, leo unashabikia kupaki bus? :coffee:
Huyu Refa balaa
Hapa la msingi ni kukomaa na ushindi tu..hata timu ikirudi nyuma yote, poa tu.