Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Hili mbona linajulikana; au jipya jingine?!
Yeah, dogo mpya kajitahidi sana, alikuwa anacheza mechi yenyeb presha sana. Glad ameanza kufanya vyema.
Hili mbona linajulikana; au jipya jingine?!
Nilivyoiona ile red card ilibaki kidogo sana kuzima TV nikalale. Yani muda uliopita nilikuwa na stress.
Wewe subiri maumivu ya Spurs..
tunakutana na etoo?
Haya naona ulikuwa unawanga sana pale Anfield..ehe..hapa kwako vipi?
Rooney mwehu.
mkuu mmeshashika nafasi yenu
Hongereni kwa kushinda 1-1
Nafasi yenu na saba mmeshika nafasi yenu
Tunakuja kuwashika sasa, mtatutambua kuanzia wiki ijayo.