Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ImageUploadedByJamiiForums1411828829.796789.jpg

ht
2 - 1
 
Marefa wamekuwa ***** sana siku hizi dhidi ya United. Sasa Downing hata hajaguswa, Herrera kapewa yellow!!
 
lol!!!! Mlifanya makosa hati miliki ya kupewa penalty ili kubebwa na marefa kumuacha SAF aondoke nayo MRIE TU hakuna kubebwa siku hizi.

This is too low for you arifu. Nawe upo kwenye mkumbo wa kusema United ilikuwa inabebwa na marefa?

Kama ndivyo, basi tajiri wa Arsenal wa zamani David Dein aliyekuwa bosi wa FA, naye alihusika katika kuibeba United! How about that?!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Khe khe kheeeeeeeee This is too low for you Mkuu to pretend you don't know/remember that most of the time you had 12 players in the game.

Back
Top Bottom