Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo ikitokea tukawapiga WHU nitaamini kweli kuna rebuilding inayoendelea na matunda yataliwa muda sio mrefu..!!
'Vijana wasije tuharibia weekend yetu hatujazoea kuishi ki Arsenal Arsenal mtaani jamani na kikubwa tukiwapiga tutakuwa juu ya mahasimu wetu Looserfools
 
4-3-3 ndo Formation

ImageUploadedByJamiiForums1411825277.159395.jpg
 
Leo mpo vizuri wala hamhitaji kuwa na wasiwasi mnashinda.
 
Wavimba macho piteni.
Kinachonifurahisha kwa timu yangu ni uhakika kuwa magoli yapo.
Washambuliaji wanafanya yao.
 
Back
Top Bottom