Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Kama ingekuwa haina upungufu wa mwamuzi, basi yagewezekana
 
Louis van Gaal says United threw away the chance of victory at Leicester, noting: "We created a lot of chances and made superb goals. But you have to do that for 90 minutes, not 60."


Safu ya ushambulizi imefanya kaz yake vyema kwa kutengeneza goli tatu na attempt kadhaa zilizokuwa za hatari,ila morali yao ilishushwa na wazembe wachache ,so mimi siwez kuwalaumu!!
 
Poleni kwa kichapo. Hii ni EPL, baadhi ya washabiki wa Manu walidai Arsenal wachovu sababu walidraw hapo The King Power stadium na wao eti ndo walikuwa wameanza ligi pale OT wiki ilopita na QPR. Kuhusu refaree, leo kalikoroga, ila kila timu ya EPL itaonewa na kupendelewa. Manu walitakiwa wa-react ila hakukuwa na hiyo spirit. Poleni sana. Football is soo unfair sometimes when you have that talents at ur disposal and still u end up with such a debacle. At the end of the day, NIMEFURAHI na poleni sana.
 
Mnatakiwa muamke mapema, mechi sita zijazo, tatu kati ya hizo sita ni Everton, Chelsea, Mancity. Muanze ligi mapema, la sivyo mtajikuta mnaanza January wakati wengine wanaanza kumaliza.
 

Arsenal ni wachovu hata kama walidraw na Leicester,ngoja tukikutana ndio utajua kuwa Arsenal ni vibonde kwa Man United
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…