....Mwenyezi Mungu atawanusuru, 'Why Always them?"
😛op2:....kabumbu limetulia,.....Di Maria, Van Persie, Mata, Rooney...duhh!?
Majina makubwa makubwa!
.....:shetani::shetani::shetani:...RED DEVILS, sasa hiyo ni gombania goli au?
mnataka penalty ya magumashi sasa, FERGIE pekee ndiye aliyekuwa na haki-miliki nazo.
Hivi hawa watu wanaoichukia Utd walikuwaga wapi zamani?
Sitaki kuamini hawa wamezaliwa 2013-2014
Kweli mti wenye matunda mengi ndio hupigwa mawe
Hahahahaha lol!!!!! Haki miliki ya penalty kaondoka nayo SAF!!!! lol! nimecheka sana haahahaha. Mechi tatu wamekusanya 2 points wako jirani na mkiani!!! Dah!!!! Mdudu Nzi sijui kama atapita leo mtaa huu, na yule brother Belo mara tu ya mechi kwisha alionekana amelala huku akiwa amejifunika blanket nzito akidai anasikia baridi sana 🙂🙂
Mninga toka lini ukatoa Matunda mkuu!??
Ungekuwa ni mninga mngekuwa mnacheza double team kusherehekea UTD kutoka draw
Hahahaha. Ulitaka kila mtu ashabikie Liva? Mwaka wa 23 hawajui kombe la ligi linafananaje! Unachekesha