Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Itabidi msubiri hadi dirisha la December/January ili kuongeza nguvu ya timu.
Itakuwa too late mkuu, amalize kila kitu sasa. Pia auze wachezaji mizigo, team inaonekana kubwa kumbe kimeo tu
Itabidi msubiri hadi dirisha la December/January ili kuongeza nguvu ya timu.
Siku hizi tena kawa Mkali hata Scholes akiongelea timu sio mkali hivi labda Ndugu yetu Ice Bucket litamsaidia kupunguza hasira za Joto hata Mie basi hataki kuitikia salamu? Wacha1 punguza Jokes tunakosa marafiki usijali kesho na wewe utakuja tu Mie nakukaribisha DonDonald.
Hii formation ndo inaitwaje???
![]()
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ha ha ha ha kufungwa pale pale tu
Kwa kikosi hiki msiposhinda leo...basi mjue msimu huu kwenu ni majanga!
Burnley?
Mkuu DonDonald atakuwa amekupa pin kijuujuu na kakuvalia mawani ya mbao
Hivi hawa watu wanaoichukia Utd walikuwaga wapi zamani?
Sitaki kuamini hawa wamezaliwa 2013-2014
Kweli mti wenye matunda mengi ndio hupigwa mawe
Tupo busy kukamilisha usajili si unajua yamebakia masaa sio mengi
Ikipita jumatatu tataanza kuchambua matokeo
Ok nimekupata mkuu Kumbe matatizo hayapo ni ushindi tu ndio haupatikani kwa sasa sio? Sasa hayo ndio ya ku chambua tuwe tunasalimiana basi naona Leo na gonga mlango unanichunia nitaenda kutizama game zengine Baa basi!Tatizo watu wasiyoitakia mema Chama Kubwa Utd ndio mnadhani UTD Kuna matatizo
Ila Utd wenyewe wanajua nini kinaendelea
Umeshaongea. Tumefungwa??
Hivi hawa watu wanaoichukia Utd walikuwaga wapi zamani?
Sitaki kuamini hawa wamezaliwa 2013-2014
Kweli mti wenye matunda mengi ndio hupigwa mawe
.....:shetani::shetani::shetani:...RED DEVILS, sasa hiyo ni gombania goli au?
mnataka penalty ya magumashi sasa, FERGIE pekee ndiye aliyekuwa na haki-miliki nazo.
Wanapiga kelele wakati hatujachukua kombe msimu uliopita tu, wakati wao wana misimu 10