Mkuu naona mnazidi kununua vifaa lakini stori inabaki pale pale, angalieni creditors wasiwe wanawapigia muda wa kuja kudai vyao
man yu saa anapoint 1 il cjajui yuko nqfac ya ngapi now
Mkuu siku hizi hunioni sio Mie nakusalimia tu au ndio urafiki wa kupinga na kupingua? Mie natizama breaking news zako!Dah naona umeleta vifaa vingi hapa JF rubaman
mi nahisi wewe ni mbu wa dengue si bure ama pia umeandagoo muteshen unaeneza ebola kwa Man U
wallah wewe mi nimesema napingua urafiki na wewe
kwa kiwango hiki!, man u imebomolewa kwa muda gn?
Good News
United agree deal for Blind
Manchester United is delighted to announce it has reached agreement with Ajax to sign Daley Blind, subject to a medical and personal terms.
A further announcement will be made when the process is complete.
Mkuu siku hizi hunioni sio Mie nakusalimia tu au ndio urafiki wa kupinga na kupingua? Mie natizama breaking news zako!
Mkuu siku hizi naona hutaki kuzungumzia mechi zenu hasa baada ya mpira, unabadilisha topiki haraka haraka kulikoni?
Mkuu siku hizi hunioni sio Mie nakusalimia tu au ndio urafiki wa kupinga na kupingua? Mie natizama breaking news zako!
Siku hizi tena kawa Mkali hata Scholes akiongelea timu sio mkali hivi labda Ndugu yetu Ice Bucket litamsaidia kupunguza hasira za Joto hata Mie basi hataki kuitikia salamu? Wacha1 punguza Jokes tunakosa marafiki usijali kesho na wewe utakuja tu Mie nakukaribisha DonDonald.Mkuu siku hizi naona hutaki kuzungumzia mechi zenu hasa baada ya mpira, unabadilisha topiki haraka haraka kulikoni?
Inamaana van gaal hajapata masoko ya Ashley Young, Anderson, Fletcher, Valencia???
![]()
Jamani namtafuta Juda Iskariot nachikia kajificha huku na Van Gaffe
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee