dua zangu zootee ni kwa klabu yangu..........sitaman kuona tunaumizwa.
ila dahhhh...................
Mhhhh!!!! Mbona wote mnakimbilia huku banaaa!!! Hebu njoo kule Gunners, huku utakuwa mnyonge tu kila wiki muulize BelindaJacob alikuwa anapita sana huku lakini siku hizi huingia kila baada ya miezi minne 🙂🙂
Dada unaniaibisha....mtimu gani huu unashabikia!???
Kuna dalili za mwanzo mwanzo kama huyu LV Girl atakuwa kama Moreno, basi wapenzi na washabiki wa MANU wanaweza kuanza kampeni kubwa ya kutaka SAF arudi ulingoni, mechi nyingine mbili/tatu zijazo zina umuhmu mkubwa sana kwa maisha LVGirl pale MANU.
Manchester United have begun talks with Netherlands international defender Daley Blind after agreeing a fee with Ajax for his transfer, according to Sky sources.
Blind ▪️▪️▪️▪️ 86% loading....
Tutatoboa tuu n all em hatters sjui habari yao itakuwaje pale MAY...
Najua wenzangu wengi hatujazoea hali hii ila msiogope nyumba yetu leo inavuja lakini zao za mabox mnajua kitakachofuatia.....
#GGMU
Inabidi turudishe heshima yetu
Huyu anacheza number ngapi vile??
versatile defender.
Man Utd XI vs. Burnley: De Gea, Jones, Evans, Blackett, Valencia, Young, Fletcher, Di Maria, Mata, Rooney, van Persie.
Man Utd XI vs. Burnley: De Gea, Jones, Evans, Blackett, Valencia, Young, Fletcher, Di Maria, Mata, Rooney, van Persie.