gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
af ujue wewe unatafuta ugomvi na watu enh
ila sijui kwann nyuma tumekuwa hivi na hapa hatuna ujanja hadi tusubiri dirisha dogo
ila sijui kwann nyuma tumekuwa hivi na hapa hatuna ujanja hadi tusubiri dirisha dogo
.....:shetani::shetani::shetani:...RED DEVILS, sasa hiyo ni gombania goli au?
mnataka penalty ya magumashi sasa, FERGIE pekee ndiye aliyekuwa na haki-miliki nazo.