Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Degea
/ rojo:evance:rafael/
/herer:jones/
/di maria:mata:januzaj /
/rooney:van pers/

3:5:2 bado can work………tuipe muda timu na majeruhi wawe poa... timu itakua poa tuu
 
Ai!!!! Punguza basi vijembe ni mpito tu huu......
Hehehe wachana nao nimekuja kukupa pole angalau wewe na Belo mlikuja kunipa pole Kule Kop sasa sijui hizi pole zitaisha hehe nimeona haitokuwa busara Kama sijakupa pole Belo ndio simuoni muwe mnamuwekea kidude cha oxygen awe anapumulia mwenzake Nzi kashazoea sehemu chafu.
 
Miaka yangu 28 ya kuwa Manchester united die hard fan sasa nimekuwa tested ushabiki wangu, mpaka hapa sijiliwe what is really going on mbona tulicheza vizuri pre-season mbona hilo shimo kubwa between mabeki wa nyuma na viungo lilikua halionekani kama sasa, we are very exposed sana tunapopoteza mpira, we are very predictable the way tunavyocheza, kweli wachezaji wengi ni kiwango kidogo lakini sitaki kuamini na sitakaa kuamini ni kwa level hii ya humiliation.
Jamani nisaidieni what is really going on...timu yangu inashida gani..I am shocked WTF:angry:
 
Thread ya kipuuzi,yaani hii timu ni collapsed empire,mashabiki wao lazima wana magonjwa ya brain
 
Unafanya nini sasa hapa kwenye thread ya kipuuzi,na wewe ni mpuuzi
nilikuwa nataka kujua kama ipo hai,halafu nimekujua we unajifanya huna timu kumbe upo humu,bwahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Watu mna vijembe humu ndani. Khaa!!!

Please stop ruining Man Utd fans here as Petr Cech ruined one on Twitter.

53fb279d59f8c.jpg
 
nilikuwa nataka kujua kama ipo hai,halafu nimekujua we unajifanya huna timu kumbe upo humu,bwahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Sina timu? Niko JF tangu 2007 na timu zangu zinajulikana
 
Miaka yangu 28 ya kuwa Manchester united die hard fan sasa nimekuwa tested ushabiki wangu, mpaka hapa sijiliwe what is really going on mbona tulicheza vizuri pre-season mbona hilo shimo kubwa between mabeki wa nyuma na viungo lilikua halionekani kama sasa, we are very exposed sana tunapopoteza mpira, we are very predictable the way tunavyocheza, kweli wachezaji wengi ni kiwango kidogo lakini sitaki kuamini na sitakaa kuamini ni kwa level hii ya humiliation.
Jamani nisaidieni what is really going on...timu yangu inashida gani..I am shocked WTF:angry:

Kwa janah jus squad ilikua nyepese sanaah. Then lets wait wkend
GGM
 
Miaka yangu 28 ya kuwa Manchester united die hard fan sasa nimekuwa tested ushabiki wangu, mpaka hapa sijiliwe what is really going on mbona tulicheza vizuri pre-season mbona hilo shimo kubwa between mabeki wa nyuma na viungo lilikua halionekani kama sasa, we are very exposed sana tunapopoteza mpira, we are very predictable the way tunavyocheza, kweli wachezaji wengi ni kiwango kidogo lakini sitaki kuamini na sitakaa kuamini ni kwa level hii ya humiliation.
Jamani nisaidieni what is really going on...timu yangu inashida gani..I am shocked WTF:angry:

Sielewi kitu hapa . Mshikaji kama unaamini au kuona ushabiki wako kwa Man United umekuwa tested basi wewe hufai kuwa mshabiki wa hiyo timu maybe wewe ni mmoja ya wale mliofuata Man United sababu ina mafanikio. Naamini shabiki wa kweli hawezi kkuwa tested, ukiipenda timu unaipenda hata ikiwa ktk hali mbaya kivipi unaonyesha una mashaka na upenzi wako kwa Manchester United..ni maono yangu
 
Miaka yangu 28 ya kuwa Manchester united die hard fan sasa nimekuwa tested ushabiki wangu, mpaka hapa sijiliwe what is really going on mbona tulicheza vizuri pre-season mbona hilo shimo kubwa between mabeki wa nyuma na viungo lilikua halionekani kama sasa, we are very exposed sana tunapopoteza mpira, we are very predictable the way tunavyocheza, kweli wachezaji wengi ni kiwango kidogo lakini sitaki kuamini na sitakaa kuamini ni kwa level hii ya humiliation.
Jamani nisaidieni what is really going on...timu yangu inashida gani..I am shocked WTF:angry:

Pole sana! Kumbuka kuwa hata maji machafu huwa yanazima moto. Ndo kilichotokea jana na MK Dons. Ila ni muda wa mapito tu, jipeni muda.
 
Degea
/ rojo:evance:rafael/
/herer:jones/
/di maria:mata:januzaj /
/rooney:van pers/

3:5:2 bado can work………tuipe muda timu na majeruhi wawe poa... timu itakua poa tuu

Kuna mahali nilisoma kuwa ujio wa Di Maria ni hatari kwa Mata. Valencia anajihakikishia namba kwa uwezo wake wa ku track back na mbele haraka. Di Maria naye vivyo hivyo...Mata atacheza nyuma ya nani n yeye hajui kukaba? Labda awe striker!

Unafanya nini sasa hapa kwenye thread ya kipuuzi,na wewe ni mpuuzi
Belo kafufukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Cc: agosti 8, Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom