Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sielewi kitu hapa . Mshikaji kama unaamini au kuona ushabiki wako kwa Man United umekuwa tested basi wewe hufai kuwa mshabiki wa hiyo timu maybe wewe ni mmoja ya wale mliofuata Man United sababu ina mafanikio. Naamini shabiki wa kweli hawezi kkuwa tested, ukiipenda timu unaipenda hata ikiwa ktk hali mbaya kivipi unaonyesha una mashaka na upenzi wako kwa Manchester United..ni maono yangu

Naelewa kabisa na nakubaliana na wewe ulichosema..kama mshabiki unatakiwa kuwa upande wa timu kwenye shida na raha..
Tatizo letu washibiki wa MUFC tulizoezwa raha tu sa kimekuja kipindi cha shida imekua hard to swallow.
Ni kama mtoto aliyezaliwa kwenye familia ya kishua masaki kwa maika 26 afu gafla mshua akafariki maisha yakakata sa inabidi familia iamie kwa Mtongole sasa imagine mtoto anapataje wakati mgumu kipindi hicho cha kubadili maisha
 
Kuna mahali nilisoma kuwa ujio wa Di Maria ni hatari kwa Mata. Valencia anajihakikishia namba kwa uwezo wake wa ku track back na mbele haraka. Di Maria naye vivyo hivyo...Mata atacheza nyuma ya nani n yeye hajui kukaba? Labda awe striker!

Belo kafufukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Cc: agosti 8, Ntuzu

Mata still ataendelea kucheza namba 10,since LVG amekuja ndio anacheza hapo na kocha anamkubali ukilinganisha na Kagawa,Januzaj.Di Maria ni mzuri kwenye winga but baada ya kuja Bale na kuumia Khedira alicheza kiungo(Alonso,Mondric,Di Maria) so huenda wakacheza ( Herera,Di Maria,Carick),ujio wa Di Maria una impact kwa Januzaj
 
Last edited by a moderator:

Toa carrick weka vidal
 
Dawa ni kusajili john bomo sijui kwa ni i man utd hawaoni hili? Toa van persie weka john boko...fukuza kabisa rooney weka mbuyi twite ,,
 
Miaka yangu 28 ya kuwa Manchester united die hard fan sasa nimekuwa tested ushabiki wangu, mpaka hapa sijiliwe what is really going on mbona tulicheza vizuri pre-season mbona hilo shimo kubwa between mabeki wa nyuma na viungo lilikua halionekani kama sasa, we are very exposed sana tunapopoteza mpira, we are very predictable the way tunavyocheza, kweli wachezaji wengi ni kiwango kidogo lakini sitaki kuamini na sitakaa kuamini ni kwa level hii ya humiliation.
Jamani nisaidieni what is really going on...timu yangu inashida gani..I am shocked WTF:angry:

wachezaji ni level ya kawaida/average player wanachezeshwa formation ya classic players lazima watakuwa vulnerable na mashambulizi ya kushtukiza na kutokuelewana,hvyo kupelekda kuwa predictable
 
What a disappoint night for Man utd fans....
Mbu > Nzi
 
Last edited by a moderator:
article-2735145-20D7C3E700000578-820_636x324.jpg

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
''EDIN DZEKO Eddzeko
Hahahaha

PETR CECH PetrCechFootball is full of incredible moments...
Really anything can happen during one football game ... That's why I love it !

EMMANUEL FRIMPONG iamFRIMPONG26Might turn up at United tomorrow for trials

FRANNY LEE frannyLee7What price William Grigg signs
for United before the deadline?!

GARY LINEKER garyLinekerSomeone get Di Maria to Milton Keynes sharpish!''

1409117456074_wps_2_image001_png.jpg

1409133720732_wps_1_virals_banner_psd.jpg

1409117512928_wps_5_image001_png.jpg

1409117487148_wps_3_image001_png.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Kuna mahali nilisoma kuwa ujio wa Di Maria ni hatari kwa Mata. Valencia anajihakikishia namba kwa uwezo wake wa ku track back na mbele haraka. Di Maria naye vivyo hivyo...Mata atacheza nyuma ya nani n yeye hajui kukaba? Labda awe striker!

Juan emanuel mata anacheza kama attacking midfielder akipitia kati kati ya uwanja…
valencia, young, di maria wanatumia wings katka kufanya mashambulizi
 
Mata still ataendelea kucheza namba 10,since LVG amekuja ndio anacheza hapo na kocha anamkubali ukilinganisha na Kagawa,Januzaj.Di Maria ni mzuri kwenye winga but baada ya kuja Bale na kuumia Khedira alicheza kiungo(Alonso,Mondric,Di Maria) so huenda wakacheza ( Herera,Di Maria,Carick),ujio wa Di Maria una impact kwa Januzaj

True say
GGM
 
Mnajipa moyo sana Mashetani. Subirini muone ligi ilivyo mtajuta kwanini mlimchukua huyo Di Maria
 
Mnajipa moyo sana Mashetani. Subirini muone ligi ilivyo mtajuta kwanini mlimchukua huyo Di Maria

Siku hizi nimesahau kabisa km kuna timu ya mashetani wekundu!

Mkuu Mentor mpatie mdudu Nzi fomu ya kushabikia chelsea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom