Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tena mkuu wkeend hii kuna game ngume sana na burnley. hawa madoo wamepoteza game 2 mfululizo haweza kukubali kipigo cha tatu hivyo man u wakicheza kam leo watachezea kichapo cha kufa mtu. Leo wameiona manure walivyocheza na kama wangekuwa burnley basi tungesema mengine.

approach na squad ya capital one si sawa na ya ligi kuu………
tegemea MAN U ya tofauti sana wkiend…………………!!!
 
10348636_10152388017063931_3591361717639211590_n.jpg


It is Man Utd who are ruining the sport.

Pesa yote hiyo halafu wanapigwa 4 kavu na MK Dons?

This is unacceptable. Manchester United stop ruining the sport.
 
Mnakumbuka ile rant ya yule mshabiki wa Man Utd, dhidi ya Moyes baada ya kuchapwa na Liverpool msimu uliyopita?

Alisema "The only thing doing there today is the crowd [aka Nzi, Belo, Bulldog etc]. The crowd again were bullied today. But the crowd should start turning because this guy is getting away with it. As long as the crowd support the team, this guy thinks is in cloud 9. ...

And this guy is doing exactly the same thing, he's ripped the heart out of it, he's ripped the soul out of it, he's ripped the passion out of the team....

He is a Preston manager, he is an Everton manager, he is no a Man U manager. Never will be. Never was. Go and get Van Gaal, go and get Hiddink, go and get a guy who is used to a big club, who he can walk in here and take ... of this club. Not a guy who comes and say I'm so glad to be here, I'm so lucky to be here.

We should have had Mourinho. Mourinho would have walked in and said ‘I'm here'. Like Eric Cantona who arrived and went ‘I'm here, I belong here. This fella doesn't believe he belongs here, and he doesn't.....

I wouldn't mind if you could see that he had a plan. If you could see that he made a change and we looked better, but he never made one change that improved us. His tactics and his team from the start was bobbins. We were so easy to play against. It is Stone Age football this guy is playing. Stone Age."




So, they have listen to him, went out and brought in Van Gaal.

Ningependa kumsikia tena huyu babu.

Is Van Gaal ripping the heart out of it?

Is he ripping the soul out of it?

Is he ripping the passion out of the team?

Well, listen to this self claimed Full Time DEVIL.



cc Mbu, BAK, MEANDU, Mentor, Mourinho, Pazi
 
Last edited by a moderator:
Kama umemfahamu LvG kabla ya kombe la dunia, utajua ya kwamba yeye ni mpenzi wa 4-3-3. Hii 3-5-2 anaitumia kwavile kasema hana wachezaji wa kufit 4-3-3. Ngoja tuone kama kweli Vidal na Blind watatua OT pia.

Kumbuka Bayern walimfukuza sababu ya kuingiza team kwenye mikataba ya Carl Peters!

Babu alikuwa anashinda EPL na hawa hawa akina Evans lkn LVG hadi aje Di Maria;Vidal na Muller
 
Kumbuka Bayern walimfukuza sababu ya kuingiza team kwenye mikataba ya Carl Peters!

Babu alikuwa anashinda EPL na hawa hawa akina Evans lkn LVG hadi aje Di Maria;Vidal na Muller



Kuna shida kubwa Man U! Tuwe na subira km game tano hivi mbele tuone km timu itabadilika lkn km itaendelea kua na matokeo hayahaya itakua mmmmmmmmh
 
yapo sawa sawa kabisa

manure 0

mk dons 4

Another record in making:
Swansea never won a game at OT

Man U never knocked by lower league team with 4 goals aggregate

Lkn leo Demba Ba atawapooza maumivu yenu
 
……………………………………………
Oooh shiiiiiiit…………!!!!!!
hata wkend kuna gemu tusahau yaliopita hopely tuta improv kidogo………
evans daaah ndo center diffender mkongwe na tegemewa kwa sasa nini sasa anafanya!????
GGM

Uwezo wake umeishia pale,yule ni miongoni mwa average players wanaopaswa wauze kamwe jitihada haizidi uwezo
 
Kumbuka Bayern walimfukuza sababu ya kuingiza team kwenye mikataba ya Carl Peters!

Babu alikuwa anashinda EPL na hawa hawa akina Evans lkn LVG hadi aje Di Maria;Vidal na Muller

Mpira umebadilika sana ndugu yangu kwa sasa vitimu vidogo ule uoga wao wa kucheza na man u umepungua sana by the way lets be honest to ourself ho w the hell do you expect to be cup finalist au tittle contender kwa viwango vya akina anderson na evans??
 
Aiiisee! Wonders shall never end Naamka asubuh najaribu kupapasa simu kisha naingia mtandaon nakumbana na neno "Humiliation" nashtuka kidogo kuangalia vizuri kumbe ts the same story that Man Packiyayo kapigwa na Mohamed Matumla na hapo ndipo namkumbuka mkuu Balantanda kwamba ni #TeamJamviLaWageni Ooooops!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom