gmosha48
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,399
- 1,482
Mdogomdogo
Unatisha mkuu. Original photo ni ya Rojo.... Hii imechakachuliwa.
Mdogomdogo
Ha ha ha ha bro. United ndio timu ya kwanza kuanza kufanya matumiz makubwa ya pesa au umesahau uhamisho wa ferdnand kutoka leeds!?? man u ndo baba lao kaka.
Anyway heshima kwako braza
Kama Solaris Newcastle United walivunja rekodi ya kumnunua Alan Shearer toka Blackburn kabla ya transfer ya Rio lakini Rio alikuwa beki expensive wa Kwanza
Karibu tena Mkuu.
hili hapa
utani kidogo
andika sentensi hii kwa wingi
Shabiki wa Manchester united ana
mke.
Mashetani wekundu.......huyo golikipa wenu De Gea....ni mvivu sana kwenye mipira ya cross (corner kick zikiwemo)........na hilo ni suala linalowa-let down sana ManU.........kwa mfano goli la Sunderland ile majuzi.......pamoja na defense kuwa nyanya....golikipa yeye anakaa tu pale langoni.........
Umeona ehe, nashangaa kwa nini tatizo hili watu hawalioni. Pale golikeeper hamna hata wakileta defence imara kiasi gani. Yule golikipa ni majanga tu na hajui kujituma. Yaani yeye na urefu wote ule anashindwa kuifuata mipira. Bure kabisa huyo De Gea.
Tiba

Msimu wa 2012/13 ni wachezaji wawili tu waliokua na high consistency performance nao ni Januzaj na De gea
Hakuna goalkeeper hasiyefungwa lakini mpaka sasa De gea ameprove kuwa among the best goalkeepers in EPL
mashabiki wa manchester united kila mmoja ana wake wengi!