Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Hapo wa mwisho umenikumbusha dah! Esp. mfarisayo....dah! huyu jamaa sijui nini kilimpata!
Last edited by a moderator:
![]()
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
wewe una short memory au huna kabisa....sasa chelsea na man utd nani ana muda mrefu bila kuchukua EPL??? kwa faida yako man utd ndio walikuwa mabingwa EPL 2012/13 na chelsea mara ya mwisho ni 2010!!! hapo wala sijataja idadi ya vikombe....i mean kuanzia league cup,fa cup,champions league hamna hata kombe moja mnafikia rekodi yetu.
Mpaka hapo atakuwa ameshajielewa yupo kundi lipi la mashabiki
mara ya mwisho chelsea kubeba ndoo ilikua 15 may 2013 europa league!" sisi sahivi tuna deal zaidi na makombe makubwa kama UEFA siyo EPL.
Usijitetee na mataji y zamani 1908 ulikwepo?!
Ratiba ya UEFA ikitoka unijulishe basi Mama u amepangwa na nani?! tehtehtehteh ..............
Grand PA

mara ya mwisho chelsea kubeba ndoo ilikua 15 may 2013 europa league!" sisi sahivi tuna deal zaidi na makombe makubwa kama uefa siyo epl.
Usijitetee na mataji y zamani 1908 ulikwepo?!
Ratiba ya uefa ikitoka unijulishe basi mama u amepangwa na nani?! Tehtehtehteh ..............
grand pa
michezo ipo mingi hamia kwenye rede ndo saiz yako
Wakuu dil la de maria vp? Bado haljakamilka?
mkuu nikisahau kukupongeza hongera kwa kupata suluhu
ndio ni tofauti na kukosa kabisa
mechi 2 point 1
ha ha ha ha ha ha
kataa tuone
Nikatae nini mkuu chogo? Timu yetu inaumwa mkuu.
Tupo kwa daktari tunaitafutia dawa
mkuu ungejua chogo ndio my favorite name usingeitamka ha ha ha ha ha ha ha
Then subiri tutakapoanza kuwanyoa looser