Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
hunishnd mimi ila kwa situation ilivyo ni ngumu tusubiri tu mpk dirisha dogoKila siku nasali aje vidal, nimemuona kule seria A, jamaa ni mzima
Kiwango chake kimegotea pale yule mkuu hawezi improve zaidi ya pale kamwe 'jitihada haizidi uwezo'Sahivi fellain hawezi kuondoka kwasababu ni majeruhi, smalling anaweza kuwa trained kuwa namba 5 nzuri kwasababu ana advantage ya urefu.
Personally, nampa msimu mmoja tu, kama hata-deliver basi auzwe