Chelsick wamedrooππ....na jumapili nawaombea 'ndugu' zetu asenali ushindi mnono. BTW: Kuna mtu anaitwa Manda anawasalimia sana kina Ab, Mbu etc...yupo Kilosa (si mnajua tena mafuriko? Internet ilizolewa)

Am back mkuu, just 'now now', ila Ze Gonaz wakifungwa watoka nduki hata jamvini siwaoni, at least Mbu, huyu mkweli 'mbu', hata chandarua cha 3-1, anapenya tu.
BTW; Mjomba Ab Tchaz, salaamu zetu umepata? , ukiona mwenzio ananyolewa wewe........'
Maisha ni kama Talanta, asiye kuwa nacho hata kile kidogo hunyang'anywa, poor them. Although wamekuja mda mbaya, OT, kipindi ambacho tupo 'kikazi zaidi'.
Kila la kheri 'ndugu zetu' wa Emirata kesho.
Mechi ya kesho nataka Arsenal washinde wawapunguze speed hao Chelsea, lakini tatizo ndugu zetu Ze Gunnaz nao wanataka kupiga chenga mpaka ndani ya nyavu