Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,140
- 2,499
tutarudi muda si mrefu.....
Kipigo tu mwaka mtafungwa mpk bas
tutarudi muda si mrefu.....
Kipigo tu mwaka mtafungwa mpk bas
ni ukweli ambao ni mchungu kumeza. kitendo cha kukosa champions league kimeathiri sana usajili na status ya man utd.
timu sasa iko desparate na kila timu inajua hilo so wakisikia man utd inamtaka mchezaji wao,wanaweka terms wanazotaka wao wakijua man utd has no choice anymore.
wachezaji wengi wakubwa wamekataa kuja man utd tena wanakuwa offered hela nyingi sana,lakini hii ni transition period soon tutarudi tunapostahili na kila mchezaji ataona kuja man utd ni ufahari kama zamani.
wewe bwabwaja tu hapa mwisho wa ligi ndio tutajua kama sisi tutamaintain 7 up yetu au nyinyi mtabaki tena na trophy yenu[4th place] maanake hio ndio mnashindani kila mwaka kwa miaka 10!!! na mmeridhika nayo.
![]()
Does this look like a 4th place?
![]()
Does this look like a 4th place!
Wivu tu.
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
![]()
Does this look like a 4th place?
![]()
Does this look like a 4th place!
Wivu tu.
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Msimu huu target iwe kushika nafasi ya nne ili kucheza Champions League.
Kama ikitokea mkichukua ubingwa then iwe tuu the unexpected.
Bora kuwa realistic kama Mourinho alivyokuwa msimu uliyopita.
siwezi kumuonea wivu mtu niliemzidi kila kitu.....win CHAMPIONS LEAGUE first,and then come and talk to big boys....kaongee na tottenham au west ham sisi tuachie liverpool/chelsea/ac milan and the likes.....
![]()
Does this look like a 4th place?
![]()
Does this look like a 4th place!
Wivu tu.
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
![]()
Does this look like a 4th place?
![]()
Does this look like a 4th place!
Wivu tu.
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Alonso ni michosho....naona Mashetani wanamvizia
na hii ndio itaturudisha kwenye anga zetu.
Kutocheza ulaya ni big loss kwa United,last season Woodward alichemsha sana kwenye usajili tungeweza kuwapata kina Strootman,Carvalho,Vidal,Benatia,Hummels kwa bei chee kuliko sasa.Kitu cha msingi ni kuendelea kuondoa magarasa so far tumepunguza wage bill kwa (Giggs,Rio,Vidic,Evra) hii ya Nani bora aondoke hata kama tutaendelea kumlipa i wonder why Moyes alimpa mkataba wa miaka 5.Fellaini,Anderson nao wanastahili kupigwa panga
Msimu huu target iwe kushika nafasi ya nne ili kucheza Champions League.
Kama ikitokea mkichukua ubingwa then iwe tuu the unexpected.
Bora kuwa realistic kama Mourinho alivyokuwa msimu uliyopita.
![]()
Does this look like a 4th place?
![]()
Does this look like a 4th place!
Wivu tu.
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hao wote ni squad players hata wakiwekwa benchi hawana shida,I hope Chicharito atauzwa.Tatizo kubwa la Man United liko kwenye kiungo hasa mkabaji.Timu ikiwa haina mpira inakuwa very weak game ya Swansea magoli yote yamefungwa kutokana na uzembe wa viungo,Herrera ni mzuri lakini bado mikiki ya EPL hajaizoea.Fletcher kwa umri wake sio mchezaji wa kucheza dakika 90,Carick majeruhi miezi 2Welbeck, Chicharito, Valencia nao waondoke. Sijaona mchango wao