Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,449
- 9,739
naona wafu mnapeana faraja
kzuri chenu kibaya chetu mkuu...
naona wafu mnapeana faraja
Tunahitaji CB na holding midfielding
Manchester nayo team? teh jitahifin mfike nafasi yenu ua 7
new boy...
Yea, but shockingly or probably ridiculous to others, Man Utd paid £16m for Rojo plus paying Nani's wages for a year of £4.8m.
This is because Man Utd will continue pay 100% of Nani's £90,000-a-week wages for the duration of his season-long loan to Sporting Lisbon. BBC Sport - Man Utd pay Nani's £4.8m wages during Sporting Lisbon loan
This used not to happen at Man Utd. Nowadays, Man Utd inawekewa terms za kijinga kama hizi.
![]()
This red cross team ......
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
![]()
Mjitahidi maana kwenye nafasi mnayogombea zipo timu nyingi 7up!
Khe he khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Manchester nayo team? teh jitahifin mfike nafasi yenu ua 7
ni timu tena kubwa sana.....hebu katafute timu duniani iliyotengeneza 1B GBP kwenye jezi tu....sio mauzo ni zile label mbili tu adidas na chevrolet.....jiulize hio timu unayoidharau wenye pesa wanaweka 1B kwenye jezi kwanini hawakuja kwenye hio timu yako kubwa!!!!
Khe khe khe khe...nowadays ur team is struggling hata kutoa sababu!!!
Manchester nayo team? teh jitahifin mfike nafasi yenu ua 7
hebu nitajie hizo timu kubwa hapa UK ikiwemo timu yako,maanake timu zote za UK tunazizidi katika:
1.pesa
2.uwanja/facility
3.fan base
4.SUCCESS
pesa tunashindana na barcelona,real madrid na bayern sio clubs za england, uwanja hapo england ukitoa wembley unafuata old trafford,carrington training facilities ni second to none,fan base world wide hatuna mpinzani,success 20 EPL hamna anaegusa,fa cups record hamna hata timu inayoweza kushindana na trophy za sir alex pekee,in fact arsenal na chelsea hawawezi hata kushindana na trophy za giggs!!!!
Manchester utd ingekuwa team ya maana isingekuwa nafask ya 7 bhana.. Team ht hata klabu bingwa haichezi.. Khaa!!!!! uzuri wa team si pesa.... Ni uwezo wao kimpira....
ni ukweli ambao ni mchungu kumeza. kitendo cha kukosa champions league kimeathiri sana usajili na status ya man utd.
timu sasa iko desparate na kila timu inajua hilo so wakisikia man utd inamtaka mchezaji wao,wanaweka terms wanazotaka wao wakijua man utd has no choice anymore.
wachezaji wengi wakubwa wamekataa kuja man utd tena wanakuwa offered hela nyingi sana,lakini hii ni transition period soon tutarudi tunapostahili na kila mchezaji ataona kuja man utd ni ufahari kama zamani.
Kutocheza ulaya ni big loss kwa United,last season Woodward alichemsha sana kwenye usajili tungeweza kuwapata kina Strootman,Carvalho,Vidal,Benatia,Hummels kwa bei chee kuliko sasa.Kitu cha msingi ni kuendelea kuondoa magarasa so far tumepunguza wage bill kwa (Giggs,Rio,Vidic,Evra) hii ya Nani bora aondoke hata kama tutaendelea kumlipa i wonder why Moyes alimpa mkataba wa miaka 5.Fellaini,Anderson nao wanastahili kupigwa panga