Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Pamoja na hayo ni biashara kubwa sana team ikiwa inashiriki UCL. Hapo directors wa United wanaona kitu kinachomiss
 
Kama ulijua.Hucheza japo kamari maana ulipatia

hahahahaha ............ mbona nimeweka mzigo w kutosha!" nawasubiria mabingwa wa msimu huu chelsea wafanye yao j3 nikachukue mipesa. Man7 wakicheza hata na Ashanti usiogope kuwaka pesa kw Ashanti.

Grand PA
 

Almost nusu ya kikosi kiuzwe waje wapya. Tutaumbuka soon
 
Mkuu emu na mie nichekie ligi table timu ilypo mkiani fasta fasta halafu uibandke hapa wadau wote tufahamu teteteteteteh!



Bandiko hilo hapo nimelibandika sasa sijui WHU wanahusiana vipi na hili jukwaa au ulihisi itakuwa ni hao nimewazungushia 'red'??

#pole
 



Same old story .... ... .... . 7 up . .. ..




Nzi, Belo et al mmeiona hii? Yule Ngongo kesha hama timu
Khe khe khe khe he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee




Mob rule .. ... ......



Yarabi toba! Hivi niliingiaje kwenye mkenge kama huu?




Judas Iskariot alikuwepo, baada ya mechi alikuwa anamsaka Prof .... .
thubutu! amuulize
Cesc ... .... .
 


Kaboom!




Ushahidi huu hapa ... .. . can't look ... ..













come down .... .. ..




Poleni wakuu nachikia mliwafunga sana wale Marekani kwenye pre-season .. ..
komaeni nao sasa maana wanaweza kuchukua namba yenu ya 7 up!
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…