DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,544
- 2,747
Mbona hamshangilii timu yenu, au staili ya post 7th place ni kuja kushangilia ushindi na kudai kuwa timu yenu imecheza vizuri? naona Rooney amekosa penati. Anyway, mna control game ila naona mara kadhaa Valencia wameweza kutoboa beki yenu.
Kiaina fulani unashabikia/unaipenda Man Utd