[h=1]United target Argentina defender Rojo[/h]Gonga hapa: Louis van Gaal looking to bring Argentina defender Marcos Rojo to Manchester United | Football News | ESPN.co.uk
United target Argentina defender Rojo
Gonga hapa: Louis van Gaal looking to bring Argentina defender Marcos Rojo to Manchester United | Football News | ESPN.co.uk
Tehtehteh nimekusoma sikumshangilia Lebron James na Miami Heat awe Huyo komwe Yule demu atakuwa sio Carribien atakuwa katoka Kenya au Tanzania ndio makomwe Yale mademu wanapotokea damu yake itakuwa Hivyo.
Lol Rihanna anataka kuweka dau achukuwe Anfield nzima. Chris Brown naye atakuwa njiani kubeba shares Old Trafford.
Wacha kuisema timu ya wapopo mwenyewe Tajiri Nigeria anasubiria kuibeba timu wewe unataka kina Rubaman wa Twerk Twerk! Lol!Yeah nimesikia kuhusu hizo fununu za CB Kutaka kununua hisa UTD, itakuwa wamevutiwa na uamuzi wa Miley Cyrus wa kuamua kuinunua Arsenal.
Wacha kuisema timu ya wapopo mwenyewe Tajiri Nigeria anasubiria kuibeba timu wewe unataka kina Rubaman wa Twerk Twerk! Lol!
Mpopo kagundua atapoteza hela zake hapo Emirates....
Hivi nyie msimu huu mmesajili wachezaji wangapi? naona kila siku mnasajili mtu mpya
Unajuwa wazungu Weupe wengi mabilionea Wenye timu ukiwaacha biashara zao ni mabilionea wamikopo wengi likitokea balaa ni la club kweli na mabilionea madeni Yao wanaokowana ila madeni ya kuanzia Millionea kwenda chini ni stress wengine kufungwa wengine kuishia jela Mfano mwengine hizi timu zingekuwa asilimia kubwa mzamini ni mweusi timu ikatokea Kama kina Hicks na gillet au Glazers ule mkopo watu wangesema unaona watu weusi Hawana akili mpaka timu Ina madeni na deni lingeumizwa vibaya ila wazungu Weupe madeni Mabaya ila wanatetewa na wanaendelea vizuri bora muda umefika wacha tu kina Rihanna,Mnigeria, au kina P Diddy nao waje kununuwa hizi timu tuone watapewa?DonDonald, Pazi, mpopo alikuja na pesa za e-mails akashitikuwa lol. Wale jamaa waliochukuwa bonge la mkopo kununulia klabu kubwa wakijua mambo yakienda vibaya deni litaachwa katika jina la klabu walikuwa wajanja sana. Anyway, kina Chris Brown na Sports Agent lil'Wayne wataokoa klabu hiyo baada ya misimu miwili ijayo.
DonDonald chama lake ni MK Dons atawashangilia vizuri mtaani kwake lol!Naona nyota ya Pep Guardiola inaanza kufifia, Man UTD wangesubiri kidogo wangempata.
DonDonald chama lake ni MK Dons atawashangilia vizuri mtaani kwake lol!
Naona unajitoa ufahamu...
Aliopanga hyo ratiba ni nan??