wacha kumsikiliza Rubaman huko kwenu ndio magendo Kama kwao Philly kina Rubaman tehtehteh Countryside wewe unaelewa DonDonald huku Wenye pesa zao Mr Bean ndio jirani sio mbali Atkinson Mie ndio mlinzi wake hehehe, akitaka Hilo Box nitampelekea situnalipa na sheria nazijua wewe jidai kukataa kwa uoga Baa watakupiga Glass ya uso bure mtumie tu Rubaman zinatumika mpaka huko kwao, MK mashabiki wa Chelsea tu Kama Huku Countryside train wanajaa wao tu wasije kukupoteza bure.
✔ Van Gaal Ameshinda kombe katika misimu yake ya kwanza "ubingwa wa ligi" katika club zote nne alizofundisha , ana record ya mabadiliko ya haraka na mafanikio ndani ya muda mfupi katika timu zote nne, Alifanya Ajax, aliirudisha Barc juu, akiwa Az Alkmaar 2005/06 aliirudsha juu na akawa weka record ya kumaliza ligi akiwa na point nyng zaid ndan ya miaka 25, hakuishia hapo tu Munich na penyewe alifanya lile lile, anauwezo wa kusoma na kutambua uwezo wa wapinzan mapema na kufanya maamuz sahihi
2. HATUSHIRIKI MICHUANO YA BARA LA ULAYA
✔ Msimu ulioisha tulimaliza nafas ya 7 xo hatutoweza kushiriki UEFA wala EUROPA, kwa biashara tutaathirika kias flan but kwa upande mwingine hii n kama baraka ndani ya mkosi, timu haitosafiri sana, itakua na gemu 1 kwa wiki, hatutokua na majeruh ya mara kwa mara hope Rooney na RVP wakisaidiwa na wakali kama kina Mata Adnan na wenzao watakua na mda wa kutosha kujiaanda kuwatafuna wapinzan, hatuhitaji kikos kikuubwa kwaajil ya Rotation or wat , we need a smaller group with a more settled team--Road to succes, tutakua na advantage kama liverpool waliyokua nayo msimu uliopita
3. HATUNA CHA KUSUBIRI, EPL N MALI HALALI YA MAN UTD
✔ Tokea EPL ianze Inamiaka 22, Man utd ni bingwa wa EPL mara 13, xo 22-13= 9, hyo mara 9 zimeganawana club kama 5 hv, sina kumbu kumbu vzur but sijui kama ndan ya miaka 10 iliyopita tumewah kukaa zaid ya musimu 2 bila ubingwa wa ligi na kama imetokea kukaa misimu 2 mfululizo bas n mara 1 tu, tuna kila sababu ya kurudsha kikombe nyumban , nakumbuka ile ya arsenal+ Chelsea na mikokoten ya hela
4. MWANZO MPYA NA SURA MPYA
✔ Uzao mpya wa man utd [Re-birth of man utd] knowledge and experience( LVG& CLASS OF 92. Yes, we gat it all. Tuna Giggs na wenzie pale, Tuna Van Gaal muumin wa vijana wadogo kocha mwenye kipaji cha kipekee, mkumbuke tuna watoto 6 from Man utd academy wako kule kwa obama na wote wana uwezo---Road to succes
5. BURUDANI
man utd ain't just want to be succesfull, we want to win with stlye, kwa ambao mmefanikiwa kuona yanayotokea pale USA mtakubaliana na mm katika hili, kinachofanya na man utd n zaid ya burudan, intermilan imewapata kisawa sawa hii
6. POST WOLRD CUP IS PEAK TIME
tuna zali na WC, baada ya WC kama 4,,5 hv zilizopita msimu unaofuata man utd ilimaliza kilelen
wacha kumsikiliza Rubaman huko kwenu ndio magendo Kama kwao Philly kina Rubaman tehtehteh Countryside wewe unaelewa DonDonald huku Wenye pesa zao Mr Bean ndio jirani sio mbali Atkinson Mie ndio mlinzi wake hehehe, akitaka Hilo Box nitampelekea situnalipa na sheria nazijua wewe jidai kukataa kwa uoga Baa watakupiga Glass ya uso bure mtumie tu Rubaman zinatumika mpaka huko kwao, MK mashabiki wa Chelsea tu Kama Huku Countryside train wanajaa wao tu wasije kukupoteza bure.
Washenzi walishanilizaga zamani siyahitaji tena hayo mabox. Halafu huku wajanja wanabadili systems karibia kila mwaka 1 au miwili na hii digital era nasikia inafanya vigumu kuiba au kupata mtu atakayechukuwa risk kukuuzia. mwaka jana walimkamata jamaa aliyekuwa anayauza wakamfunga miaka kibao.
KUELEKEA MSIMU MPYA:
MAMBO KUMI WANAYOTAKIWA KUFANYA MANCHESTER UNITED.........
1: Kiungo mkabaji.. Pengine Michael Carrick bado Ni kiungo mzuri Sana, na pengine Ni moja ya engine ambazo hazizungumzwi Sana, lakini Man U wanahitaji kiungo mwingine mpya wa ukabaji. Kiungo anayeweza kuilinda vyema ngome ya ulinzi, na kuunganisha vyema ulinzi na katikati mwa uwanja. Haina ya kina Strootman, umri wa Carrick,pia ni Tatizo na yawezekana hasiepukane na majeraha Sana.
2: Uongozi katika ulinzi. Kaondoka Vidic, Ferdinand, Evra.. Hakuna kiongozi katika ulinzi, Evra pia hayupo, wakati mwingi tutawaona Smalling, Jones, Evans. Nadhani ni wakati wa kumpa uzoefu Evans katika hili. Kiongozi ni muhimu Sana.
3: Juan Mata..... Unataka Januzaj, Au Herrera, ama Valencia. Hapana Man U inamuhitaji Juan Mata aliyetimia. Akiwa safi huyu anaweza kukupa assist nyingi kuliko Coutinho na Silva na goli wastani wa Giroud. Huyu ndie anayetakiwa kuunganishwa na Rooney na Van Persie. Katika miguu yake kumetunzwa goli 25 kwa msimu, zake mwenyewe na assist, kama akitumiwa vyema.
4: Van Gaal na Biblia yake mashabiki na Imani zao.
Pengine watu wanalipuuza hili, lakini hakuna mzigo mkubwa aliobeba Van Gaal kama mafanikio kombe la dunia. Aliwaaminisha mashabiki, ndio maana si haba wakampa imani Yao. Huyu inabidi aitumie biblia yake vyema, bahati mbaya hajasema lolote kubwa bado ya ni wapi amepanga kuwa kufikia mwisho wa msimu. Kikubwa ni mashabiki kupunguza imani kubwa kwa timu na kusubiri matokeo, maana kwa vyovyote vile presha ni kubwa kwa wachezaji na makocha. Mashabiki wana imani kubwa kwa Van Gaal, Van Gaal naye Ana jukumu la kuwapatia uponyaji, biblia yake aikamate vyema.
5: Unahodha? Unamtaka Van Persie? Nadhani hapa inatakiwa akili kubwa, Rooney kashaanguka katika machaguo mbele ya Van Persie. Atacheza Tu nyuma yake, ni wazi hafurahii ili, ndio alipewa mshahara mkubwa lakini nadhani unahidha nao utatuliza kichwa chake. Vyumba vya kubadili nguo vitatulia hapa.
6: Mfumo... 343, 352, ndio inawezekana kabisa ukawa mkombozi wa Manchester msimu huu. Majeruhi ya Mara kwa Mara ya Rafael yamepunguza nguvu upande wa kulia, Shaw ni mzuri ILA bado Sio wa kuvaa viatu vya Evra kirahis, nimesikia hata Van Gaal kalalamikia fitness yake. Ndio kikosi cha huu mfumo anacho na wakati anaandaa kurudi katika mifumo asilia hii itamsaidia Sana.
7: Old Trafford... Achana na Camp Nou, huu ni uwanja ambao Fergie aliufanya usitamaniwe na mtu yoyote yule. Ulikuwa wa mateso na,kilio hasa. Khali ilikuwa tofauti msimu uliopita nadhani ni muda wa kurudisha morali ya uwanja. Ni wakati wa kuwafanya wachezaji watambue maana ya huu uwanja. Ubingwa siku zote fergie aliokota hapa, haikuwa rahisi mtu kutoka salama.
8: Kutokuwepo Champions League. Utashangaa kwanini nimeiweka hapa. Unajua kwanini Liverpool,waliwatezsa timu kubwa na mbio ndefu, hawakucheza Sana katikati ya wiki. Hapa ukizichanga karata vyema unafika kileleni. Van Gaal analijua hili, na anaweza kulitumia hili kuwapa morali wachezaji ya kupigana. Hii inaweza kuwaweka vyema maa,a hata miguu ya van Persie itakuwa salama kiasi, itacheza weekend Tu.
9: RVP & ROONEY..........
Inawekana hasa wakawa ni moja ya washambuliaji bora Sana walio chini ya kiwango kwa sasa, wote Sio wale walioipa MU ubingwa msimu mmoja uliopita. Hata Uholanzi walihitaji miguu ya Van Persie baada ya kichwa cha mbizi wakaikosa, Rooney vile vile. Man U inawahitaji hasa kuanzia uongozi mpaka magoli. Hawa wanahitaji kurudi katika umahiri kama tunataka kuiona Man U juu tena.
10: Uwiano wa magoli ya kufunga na kufungwa. Kuna usemi wa kiingereza unasema Offense gives u a win but defense gives you championships. Yaani ufungaji unakupa ushindi wa mechi na uzuiaji unakupa ubingwa. Hili ndilo lilikuwa Tatizo la,Liverpool, walifunga Sana ila,pia wakafungwa Sana. Man U alifunga magoli chini ya 70 na akaruhusu 43. Wastani mbovu kabisa. Wakicheza hivi tena siwaoni kule juu, Lazima waliondoe hili. Ahsanteni
By Nicasius Coutinho Suso
Tumemfunga mtu (Benfica) 5-l Sanogo kagonga a hatrick plus one. Superstar Bebe alifichwa mfukoni. Kumbe mnacheza leo. Formation ya LVG 3-5-2 naisubiri nione itakavyokuwa . Beki yenu itakuwa inacheza high defense line kila mechi msipokuwa na wachezaji wenye spidi mtavujisha magoli mengi
Tumemfunga mtu (Benfica) 5-l Sanogo kagonga a hatrick plus one. Superstar Bebe alifichwa mfukoni. Kumbe mnacheza leo. Formation ya LVG 3-5-2 naisubiri nione itakavyokuwa . Beki yenu itakuwa inacheza high defense line kila mechi msipokuwa na wachezaji wenye spidi mtavujisha magoli mengi
Tumemfunga mtu (Benfica) 5-l Sanogo kagonga a hatrick plus one. Superstar Bebe alifichwa mfukoni. Kumbe mnacheza leo. Formation ya LVG 3-5-2 naisubiri nione itakavyokuwa . Beki yenu itakuwa inacheza high defense line kila mechi msipokuwa na wachezaji wenye spidi mtavujisha magoli mengi
Football News
24/7 Manchester United vs Real Madrid International Champions Cup Michigan Stadium Ann Arbor, Michigan KO: 21:39 GMT
Manchester United vs Real Madrid is one of the most glamorous match ups in world football and will always draw lots of attention, even when there is nothing at stake other than pre-season pride.
This is most certainly true for their friendly match in Michigan, where the Old Trafford and Santiago Bernabeu clubs have managed to sell out the incredible University of Michigan 109,000-seater stadium in Ann Arbor, nicknamed 'The Big House'.
Manchester United's new boss Louis van Gaal is getting one of the last few looks he can at his team in action before the Premier League restarts in two weeks time and he is expected to make some changes to the squad while the transfer window remains open.
However, one plus has been the form of Wayne Rooney in the absence of Netherlands international Robin van Persie. The England striker has looked sharp and fit in the whole US tour, and appears to have put England's disappointing World Cup behind him.
United fans will also be looking forward to getting a glimpse of new signing Ander Herrera, who has been tidy when appearing for the Red devils since his £29million move from Athletic Bilbao earlier this summer - he will also start the match.
Selling so many tickets will have a lot to do with people thinking 'Cristiano Ronaldo' when they see 'Real Madrid', but the Portuguese superstar is unlikely to figure as manager Carlo Ancelotti says he has not recovered sufficiently from the tendinitis of the knee problems that hampered him in Brazil.
However, Ronaldo did say he always had a special feeling when playing against his former club and admitted he was desperate to play, so don't be surprised if he puts in a late cameo. The teams are... Man Utd: De Gea; M Keane, Jones, Evans; Valencia, Herrera, Fletcher, Young; Mata; Rooney, Welbeck. Real Madrid: Casillas, Arbeloa, Pepe, Ramos, Nacho, Carvajal, Illarra, Alonso, Modric, Bale and Isco.
Real are already out of the pre-season tournament having lost to both Inter Milan and AS Roma previously, but Manchester United only need a draw to get through to the final against Inter, who beat Roma 2-0 earlier on Saturday.
Both Van Gaal and Ancelotti will be looking for the prefect preparation ahead of two seasons that have immense pressure on them for differing reasons.
Real Madrid's victory in the Champions League landed them the famed la Decima and so pressure will be on them to defend their title, as well as overhauling Atletico Madrid in La Liga. The Spanish champions have lost a number of their best players this summer, while fierce rivals Barcelona will have the challenge of an extensive rebuild under new boss Luis Enrique, so the pressure is on.
Meanwhile, Van Gaal has inherited a Manchester United team that looks as though needs some new recruits and will have the task of taking them back into the Champions League after a disappointing seventh place finish in the Premier League last season.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.