Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jaman wakuu huyu vidal vp?

Vidal? nyie hamwezi kupata international player kwa sasa. Mtaishia kupora wachezaji wa timu zisizocheza uefa champions league. Kama mlivyofanya kwa #Luke Shaw,(soton) herera,(bilbao) na wengine. Vidal tayari anacheza club kubwa kuliko yenu. Vidal hawezi kuuzwa kwa sasa wakati pass master, maestro, kaka mkuu Andrea Pirlo umri ushamtupa. Poleni wazee wa mtaa wa 7!
 
Bilbao wamequalify champions league,msimu huu utakuwa mgumu sana baada ya Conte kuondoka.I think huu ndio ulikuwa wakati muafaka Juventus kumuuza Vidal kabla value yake haijashuka
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

hapana mkuu, kumuuza Arturo Vidal, ni sawa na kupunguza nguvu ya engine, juve nao kwa sasa wanahitaji kuwekeza ili kushindana na magiant wa ulaya, kina Bayern Munich, Barcelona, Madrid nk ambao wanaonekana kuliteka soka la ulaya kwa sasa. Angalia invest yao.... Juve watatoka jasho kwa miamba ya ulaya c kwa pale italia...

Hivi we Belo unafikiri van gaal anaenda kufanya nini na aina ya wachezaji kama Fellaini, Fletcher, carick na sampuli ya wachezaji kama hao? Sanasana anaenda kufanya kama maximo alivyokuwa na stars, kuongeza spirit tu kwa washabiki waishi kwa matumaini.
 
Last edited by a moderator:

Nedved ameshasema hawana mpango kuwauza key players(Pogba,Vidal) but ikija offer kubwa watauzwa,sidhani kama misimu 2 itapita bila kuuzwa.Conte alishaweza kudominate kwenye serie A alikuwa anahitaji players wa kupambana kwenye Champions league wakashindwa kumletea players aliowataka akaamua kuondoka,kibaya zaidi timu kapewa Allegri

Kuhusu LVG,I think ndio anatufaa sana ana power like Mourinho sio mwoga kufanya changes like Moyes

Kumbuka tayari Giggs,Rio,Vidic,Evra,Buttner washaondolewa still panga linaendelea.
 
Mueleze mkuu huyu 072 aelew mbinu za lvg wala uwezo wake
 
[h=1]Man United yapewa siku sita kwa Vidal[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print Email Rating
vidal.jpg
Kiungo wa timu ya Juventus, Arturo Vidal, anaye tarajiwa kutua Man United

JUVENTUS imefanya uamuzi. Imemweka sokoni kiaina kiungo wake Arturo Vidal baada ya kuieleza Manchester United ijikusanye kama kweli inamtaka mchezaji huyo na ifanye hima kabla ya Agosti 2.

Kwa muda mrefu kwenye kipindi cha usajili wa majira ya kiangazi ya mwaka huu, Man United imekuwa ikitajwa kumtaka kiungo huyo wa Chile na baada ya awali Juventus kuripotiwa kugoma kumuuza, sasa wamekubali kupokea pesa, lakini jambo hilo lifanyike kabla ya Jumamosi wiki hii.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Italia, mabingwa hao wa Serie A walisema kwa klabu yoyote inayomtaka Vidal ipeleke ofa yake kabla ya Agosti 2 siku ambayo timu hiyo itasafiri kwenye ziara yake ya kujiandaa na msimu mpya huko Asia.

Klabu nyingine inayohitaji saini ya Vidal ni Liverpool ya Ligi Kuu England na kauli hiyo ya Juventus inatarajia kuziingiza klabu hizo kwenye vita kubwa.

Juventus imesema kwamba ikipita tu siku hiyo basi haitaki tena kusumbuliwa kuhusu staa wao huyo.

Gazeti la Tuttosport la Italia limebainisha kwamba Juventus imeiambia Man United hadi kufikia Jumamosi wiki hii iwe imepeleka ofa yake ili dili hilo limalizwe haraka. Hizo ni siku sita.

Kocha, Louis van Gaal, yupo tayari kutoa Pauni 39 milioni kumnasa kiungo huyo, lakini Liverpool inaripotiwa kwamba imeandaa Pauni 42.5 milioni ili kupata saini ya Vidal.
 
Nedved ameshasema hawana mpango kuwauza key players(Pogba,Vidal) but ikija offer kubwa watauzwa,sidhani kama misimu 2 itapita bila kuuzwa.Conte alishaweza kudominate kwenye serie A alikuwa anahitaji players wa kupambana kwenye Champions league wakashindwa kumletea players aliowataka akaamua kuondoka,kibaya zaidi timu kapewa Allegri

Kuhusu LVG,I think ndio anatufaa sana ana power like Mourinho sio mwoga kufanya changes like Moyes

Kumbuka tayari Giggs,Rio,Vidic,Evra,Buttner washaondolewa still panga linaendelea.

Naona Nani na Chicharito wanaweza kuondoka
 
Nani,Anderson,Zaha,Chicharito hawana uhakika wa kubaki msimu ujao,Inaonekana Tom Vermalen atasajiliwa baada ya Arsenal kumsajili Chambers
 
Vidal? nyie hamwezi kupata international player kwa sasa. Mtaishia kupora wachezaji wa timu zisizocheza uefa champions league. Kama mlivyofanya kwa #Luke Shaw,(soton) herera,(bilbao) na wengine. Vidal tayari anacheza club kubwa kuliko yenu. Vidal hawezi kuuzwa kwa sasa wakati pass master, maestro, kaka mkuu Andrea Pirlo umri ushamtupa. Poleni wazee wa mtaa wa 7!

Dah hizi data zingine sijui mnazitoa wapi.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
DonDonald unakataa kuwa timu yenu inalinganishwa na Leeds Utd? Utazowea tu. LVG atawasaidia kuingia Europa League
 
Nimeona kwenye Arsenal Thread umeanzisha kampeni ya Wenger Out baada ya NY Redbulls kuwatandika

Ohh kibaya zaidi ulikuwa uwanjani, una gundu?

Kuhusu Utd kuna kitu kimoja mnasahau There is only One UTD, si umesikia dozi zinazotolewa na Vijana wa LVG ndani kwa Obama

Ligi ianze mapema watu tuanze kuheshimiana mitaani.
 
Msamehe hajui alisemalo

Ila mwisho wa siku atakuja kujua kati ya Utd na Juve ipi ni tiu kubwa.

sio man utd na juve...muulize man utd na timu YAKE ipi ni timu kubwa??!! usibishane na mtu ambae timu yake inakaa miaka 9 bila kikombe chochote anabaki kujisifu kushiriki....i mean KUSHIRIKI ECL kila mwaka
 
Mkuu shaka ondoa haya maneno yao mwisho mwezi ujao, walipata cha kuongea msimu uliopita, ila ligi ikianza yatakuwa ni mambo yale yale ya kawaida kwenye ligi {Bingwa ni yule anyefanyia mazoezi Carrington Training Ground}
Wao watabaki wanajsifu kumaliza kwenye top 4
 
Nimeona kwenye Arsenal Thread umeanzisha kampeni ya Wenger Out baada ya NY Redbulls kuwatandika

Ohh kibaya zaidi ulikuwa uwanjani, una gundu?

Kuhusu Utd kuna kitu kimoja mnasahau There is only One UTD, si umesikia dozi zinazotolewa na Vijana wa LVG ndani kwa Obama

Ligi ianze mapema watu tuanze kuheshimiana mitaani.

Mkuu Arsenal walikuwa wanatembea uwanjani hakuweka upinzani, Red Bulls ndo walijifanya kweli waonekane katika TV dhidi ya mabingwa. Thread ni jokes ya kijiweni...Man utd wanacheza kwa ari vs timu za mchangani moja kuondoa aibu ya kuishia nafasi ya 7, pili wanataka kumfurahisha kocha mpya,ni yale ya kipya kinyemi.... Utd kama hamtasajili zaidi ya hapa sidhani kama mtatisha nyau, msirogeke kwa matokeo ya pre-season. LVG kwa timu ya sasa sijui kama atawarudisha kugombania ubingwa labda msimu ujao huu. Tusubiri ligi ianze tuone mtakavyokuwa.
 
rubaman

Mkuu Arsenal walikuwa wanatembea uwanjani hakuweka upinzani

Dah unaweza kuniambia kwanini mliingiza timu uwanjani kama madhumuni yalikuwa ni kwenda kutembea

Red Bulls ndo walijifanya kweli waonekane katika TV dhidi ya mabingwa

Hivi TV gani zilikuwa zinaonyesha hiyo mechi mpaka Red Bulls watoe macho kiasi hicho?

Man utd wanacheza kwa ari vs timu za mchangani moja kuondoa aibu ya kuishia nafasi ya 7

Mkuu kama FC Roma ni timu ya mchangani Red Bulls iliyowafunga "mabingwa" itakuwa ni timu ya wapi?

pili wanataka kumfurahisha kocha mpya,ni yale ya kipya kinyemi

Basi wanavyofanya ni vizuri maana hao wachezaji wameamua kumfurahisha kocha mpya msimu mzima

Utd kama hamtasajili zaidi ya hapa sidhani kama mtatisha nyau, msirogeke kwa matokeo ya pre-season. LVG kwa timu ya sasa sijui kama atawarudisha kugombania ubingwa labda msimu ujao huu

Mkuu sasa hapo tuu hatujamaliza kusajili watu wanakula saba, sasa wakina AV wakishatua Old Traford itakuwaje? LVG Ninajua unajua historia yake kwahiyo hatutakiwi kuwa na wasiwasi

Tusubiri ligi ianze tuone mtakavyokuwa.

Sio wewe tu ni Dunia nzima inataka kuona heshima inavyorudishwa EPL

rubaman

Dah unaweza kuniambia kwanini mliingiza timu uwanjani kama madhumuni yalikuwa ni kwenda kutembea

Hivi TV gani zilikuwa zinaonyesha hiyo mechi mpaka Red Bulls watoe macho kiasi hicho?

Mkuu kama FC Roma ni timu ya mchangani Red Bulls iliyowafunga "mabingwa" itakuwa ni timu ya wapi?

Basi wanavyofanya ni vizuri maana hao wachezaji wameamua kumfurahisha kocha mpya msimu mzima

Mkuu sasa hapo tuu hatujamaliza kusajili watu wanakula saba, sasa wakina AV wakishatua Old Traford itakuwaje? LVG Ninajua unajua historia yake kwahiyo hatutakiwi kuwa na wasiwasi

Sio wewe tu ni Dunia nzima inataka kuona heshima inavyorudishwa EPL

Mwaka huu tutakimbiana humu ndani.
 
Back
Top Bottom