..............
#Jambooooo wazee wa.....
View attachment 172974
Mbona kelele miiiiiiiiingi humu?
Pre- season tu mshaanza kujitangaza ubingwa?
Halafu
Nzi na
Belo mmefanya
#Usajili wa wapiga domo wapya humu au ni nini?!
Waambieni wasijewakimbia tu
#JotoLaJiwe likianza..,,,wakawaachia nyie vikongwe wa
#7Up !
Anyway, hongereni basi kwa ushindi wa bao saba jana, namba
#Ishawazoea kwakweli
View attachment 172976
.....
Wacha, mie na wazee wenzangu kina
BAK,
Balantanda,
Wandugu Masanja,
piere.fm
Sizinga,
rubaman et al tuvute/tusogeze viti sasa tukae....
Wazee wa kupaki
#Bus jana almanusra
#GoloAingieJamatini daaaaadeki!....
Mentor,
Ntuzu,.... Yaani hata pre-season mnapaki
#Bus ?
......
#Khekkhhhekkheeeehhh ....
#MosKwito !