Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Nani,Anderson,Zaha,Chicharito hawana uhakika wa kubaki msimu ujao,Inaonekana Tom Vermalen atasajiliwa baada ya Arsenal kumsajili Chambers
Usimsahau cleverly
Nani,Anderson,Zaha,Chicharito hawana uhakika wa kubaki msimu ujao,Inaonekana Tom Vermalen atasajiliwa baada ya Arsenal kumsajili Chambers
Mwaka huu tutakimbiana humu ndani.
wewe mbona MIAKA TISA HUJAKIMBIA???! tukimbie sisi ambao tuna msimu mmoja bila trophy??? nyie level yenu ni blackburn[epl/fa cup winners] sisi tuachie liverpool,ac milan,barca,real madrid naamini unajua sababu
Mkuu Arsenal walikuwa wanatembea uwanjani hakuweka upinzani, Red Bulls ndo walijifanya kweli waonekane katika TV dhidi ya mabingwa. Thread ni jokes ya kijiweni...Man utd wanacheza kwa ari vs timu za mchangani moja kuondoa aibu ya kuishia nafasi ya 7, pili wanataka kumfurahisha kocha mpya,ni yale ya kipya kinyemi.... Utd kama hamtasajili zaidi ya hapa sidhani kama mtatisha nyau, msirogeke kwa matokeo ya pre-season. LVG kwa timu ya sasa sijui kama atawarudisha kugombania ubingwa labda msimu ujao huu. Tusubiri ligi ianze tuone mtakavyokuwa.
nakuhakikishia rutasajili zaidi ya haa angalau wachezaji wawili hilo kwanza ondoa shaka,pli nyie kufungwa ni upumbavu na uzembe wa wachezaji wenu wanakosa scoring oppurtunity za wazi kabisa kwa kifupi uwezo wao ndo umeishia pale kwa upabde wetu sisi ni dozi kwenda mbele.

Mkuu Mndengereko naona ndo unatoka Crisis management center, inaonekana uliwekwa katika intensive watch walikuwa na wasiwasi unaweza kujidhuru maisha yako. Angalia mkuu usitilie maanani haya matokeo ya pre-season, naomba tusije tukakukuta umevalishwa straitjacket Mirembe ligi ikianza.
Mwaka huu wakaanga sumu mtajibeba wenyewe Man inapiga pasi za kufa mtu naiona Arsenal ikichapwa 3 - 0 Liver 2 - 0 Mashit 1 - 0 Chelsea 4 - 0.
Na tusubiri msimu uanze ili tushuhudie Msije makaliaga hili jukwaa bila kuondoka! Oooops!! Sorry msije mkaondoka bila kuaga.