Umeadimika sana Manda usije kupotea kama Icadon
Van Gaal ni kocha ni kocha mkali sana waliofanya nae kazi wanalijua hilo sidhani kama anaweza kukubali kununuliwa wachezaji asiowataka.Moyes alishindwa kuhandle wachezaji wakubwa wengi walicheza chini ya kiwango,Van Gaal alishakutana na Giggs na Woodward nafikiri alishapendekeza wachezaji anaowataka.Cha msingi ni wachezaji chipukizi
dogo karibu manchester united...tunategemea utadumu kama akina RIO FERDINAND na GIGGS!
what matters sio averaage player au worrld class palyer what matters timu ilikuwa inamuhityaji ama la kutokana na mapungufu ya timu husika hii hapa article nzuri sana inaelezea kwa nini herrera ni jembe kuliko world class player fabregas The Dossier: Why Herrera makes more sense than Fabregas for Manchester United - Goal.comsiyo mbaya, ukikubaliana na ukweli kuwa, u've signed mchezaji wa kiwango cha kati..
Always, mashabiki wanakuwa na expectations nyingi kuliko club yenyewe..
So sometimes, itabidi ukubaliane tu, na Hali halisi, coz club ndo inaamua kila kitu..ukinambia Lambert na Can ni average players, sitokupinga, coz ni UKWELI.
Asa ninavyokwambia wewe, kuwa Hererra ni average player, unaona kama ni HATER, wakat huo ndo UKWELI..
#smh
mapema sana kupewa hiyo jeziNapendekeza apewe jezi number 7 anaonekana anaweza kuiwakilisha vyema.
Heshima yangu ileee inarudi kama zamani.dogo karibu manchester united...tunategemea utadumu kama akina RIO FERDINAND na GIGGS!
Hii ndio "planned" line up ya VAN GAAL!!!
aisee hio itakuwa balaa!!!
Hii ndio "planned" line up ya VAN GAAL!!!