Hapo ndo nilikuwa napataka!!
i think nimeshaandika hapo juu kuhusu suala la Caroll kununuliwa £35million kipindi kile, na nikasema liverpool walikuwa so desperate kama Manure mlivyo sasa!
tukubaliane kuwa kutoa £27mill kwa Mchezaji average aina ya Luke Shaw ni kupagawa, Ni kama liverpool walivyotoa £35million kwa Caroll, kule kulikuwa ni kupagawa kaka!
Ujue Mkuu Belo, kama upo kwenye hizi ishu za mpira, utakubaliana na mimi kuwa Rumours za magazet huwa zinadanganya sana, mpaka imefikia kipindi Watu wanasubiria kuona Skysports wanasema nn!!..So sidhani kama Chelshit walikuwa na STRONG interest yoyote kwa luke shaw achilia mbali kupeleka Inquiry kuhusu huyo mchezaji, Katika Clubs ambazo huwa hazihestate zikimtaka mchezaji basi ni Chelshit, hilo wote tunalijua!!!..na mourinho asingekubal kutoa £27million kwa aina ya mchezaji kama Luke Shaw!!!
Na kwahyo hata kama Man city au Chelsea wanahela, wangeenda kuspend £27million kwa Fellain kama mlivyofanya???
Afu pia unatakiwa kujua tricks za Maagent ambazao huwa wanazicheza, mfano ni lile suala la Ronaldo kurudi Manure, Au ishu ya Januzaj baada ya kuchomoza tukaanza kusikia anatakiwa na Barca, Juventus, Bayern and blah blah blah, nadhan mkampa mkataba ambao unamfanya kuwa mchezaj mdg anaelipwa hela nying zaid, Sidhan kama kina messi, aguero, ronaldo, Wilshere, walcot, pedro na wengneo walilipwa kama anavyolipwa sahv januzaj..hizo ni tricks za Agents, na hasa alishajua kuwa mlivyokuwa mmepagawa msingeweza kumuachia bwana mdogo!!!
Manure, Sahiv mtapigwa sana Sokoni!