Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

TEH TEH !!NACHUNGULIA KWA KIJICHO HUMU NDANI NAONA WATU WALIVYONUNA......
NAKAKUMBUKA KALE KAWIMBO KA MARIJANI RAJABU...

mtaa wa .........
 
Players from European clubs representing their national teams at the world cup.View attachment 158921

United has many players at the world cup, despite a terrible season!!!

hongereni wakuu,maana nanyinyi bila ubingwa huu mngetoka mikono mitupu msimu huu!teh teh trophless mbayah dah!ful weweseko
 
Players from European clubs representing their national teams at the world cup.View attachment 158921

United has many players at the world cup, despite a terrible season!!!

Huyu jamaa anajua jinsi ya kuji convince kuwa timu yake ipo juu kinoma. Eti ina wachezaji wengi katika World Cup. Hongera kwa hilo lakini kumbuka hili jambo lina athari zake pia ligi ikianza August/Septemba wachezaji wenu wengi watakuwa wamechoka na God forbid maybe mnaweza kuwa na majeruhi toka World Cup kuliko timu nyingine. Anyway, badala ya kutafuta vijisababu vya kufunika uozo wa timu yenu kubali timu ipo katika down slope pia hadi sasa wachezaji watakaorudi msimu ujao hawajui meneja atakuwa nani na wengine wapo katika wasiwasi kama watapewa nafasi na huyo meneja mpya.
 
Mengi anadaiwa hela nyingi kuliko wewe na ni tajiri kuliko mamilioni ya watu. hizo hela walizokopa ndio investment na ndio utajiri wao.

Man utd haikuwa na deni ila Glazer alivyotaka kuinunua YEYE alikopa hela za kuinunua man utd ndio ikawa na deni kupitia GLAZER. Kila mwaka man utd ina make profit

Sio kwamba GLAZER alikopa hela benki kwa ajili ya biashara zake na akatumia Man UTD kama collateral??
 
Huyu jamaa anajua jinsi ya kuji convince kuwa timu yake ipo juu kinoma. Eti ina wachezaji wengi katika World Cup. Hongera kwa hilo lakini kumbuka hili jambo lina athari zake pia ligi ikianza August/Septemba wachezaji wenu wengi watakuwa wamechoka na God forbid maybe mnaweza kuwa na majeruhi toka World Cup kuliko timu nyingine. Anyway, badala ya kutafuta vijisababu vya kufunika uozo wa timu yenu kubali timu ipo katika down slope pia hadi sasa wachezaji watakaorudi msimu ujao hawajui meneja atakuwa nani na wengine wapo katika wasiwasi kama watapewa nafasi na huyo meneja mpya.

Sawa Sheikh Yahaya Jr.

Wakaanga sumu bana...kwahiyo hujaona hata goons mnaweza kukumbwa na tatizo kama hilo uliloliongelea? Maana kuna tofauti ya wachezaji wawili, which is insignificant!
 
rubaman

Dah na avatar umeibadilisha..... kweli kila kitu kinahitaji mazoea.... Hongera sana kwa kuwa mabingwa

Btw Wenger kasema ata sign mkataba mpya, kwahiyo kuna miaka kibao ya kugombania nafasi ya nne
 
Last edited by a moderator:
rubaman

Dah na avatar umeibadilisha..... kweli kila kitu kinahitaji mazoea.... Hongera sana kwa kuwa mabingwa

Btw Wenger kasema ata sign mkataba mpya, kwahiyo kuna miaka kibao ya kugombania nafasi ya nne

kugombania nafasi ya nne kwetu itakuwa ni history muda si mrefu. Kuanzia msimu ujao ni kugombania ubingwa tu. Wenger kashasaini miaka 3 itatangazwa wiki hii pia kuna £100M za transfer atakazopewa summer hii kwa hiyo msahau kutuona tunagombania nafasi ya nne.
 
Sawa Sheikh Yahaya Jr.

Wakaanga sumu bana...kwahiyo hujaona hata goons mnaweza kukumbwa na tatizo kama hilo uliloliongelea? Maana kuna tofauti ya wachezaji wawili, which is insignificant!

Najua inaweza kutokea kwa mtu yeyote aliye katika World Cup,ndo maana nasema Mungu aipushilie mbali. lakini ukiwa na wengi wanaocheza World Cup kuna risk kubwa ya ku-burn out na kupata injuries kuliko walio na wachezaji wachache vile vile wachezaji wachache ni rahisi kuwa replace wakati wa ligi kuliko wachezaji wengi.
Hivi lini mtatangaza kocha naona danadana zinapigwa toka goli la kusini hadi la kaskazini.
 
kugombania nafasi ya nne kwetu itakuwa ni history muda si mrefu. Kuanzia msimu ujao ni kugombania ubingwa tu. Wenger kashasaini miaka 3 itatangazwa wiki hii pia kuna £100M za transfer atakazopewa summer hii kwa hiyo msahau kutuona tunagombania nafasi ya nne.

Wenger ni agent wetu tumefurahia sana kumpa mkataba mpya,anakaribia miaka 20 lakini hajawahi kuwa threat kwetu,naona umepata avatar mpya.
Kuhusu hela hata msimu uliopita alipewa za kutosha lakini hakuzitumia akadai wachezaji anaowahitaji hawapo sokoni
 
News Alert: Van Gaal ame sign mkataba wa miaka 3

Man Utd yatangaza rasmi.

*Hi Haters*
 
Van Gaal said: "It was always a wish for me to work in the Premier League.
"To work as a manager for Manchester United, the biggest club in the world, makes me very proud!
"I have managed in games at Old Trafford before and know what an incredible arena Old Trafford is and how passionate and knowledgeable the fans are.
"This club has big ambitions; I too have big ambitions. Together I'm sure we will make history."
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Chief executive Ed Woodward added: "In Louis van Gaal, we have secured the services of one of the outstanding managers in the game today.
"He has achieved many things in his career to date and Old Trafford provides him with a fitting stage on which to write new chapters in the Manchester United story."
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ryan Giggs has confirmed his retirement from the playing ranks on the day he was named as new Manchester United manager Louis Van Gaal's assistant.
 
[h=1]Manchester United name Louis van Gaal as manager with Ryan Giggs as assistant[/h]

29

Louis_3142141.jpg

Louis Van Gaal: Takes over from David Moyes as permanent Manchester United United boss

Manchester United have confirmed Louis van Gaal as their new manager with Ryan Giggs as his assistant.
The Netherlands national coach has been linked with United since the departure of David Moyes towards the end of last season.
Van Gaal will join United after Holland complete their World Cup campaign in Brazil and he has signed a three-year deal.

165012893_3575465986001_video-still-for-video-3575518279001.jpg

Dwight Yorke says Manchester United fans can get excited again after Louis van Gaal's appointment as manager.

Giggs, who has also decided to end his playing career after 963 games for the club, will be Van Gaal's primary assistant and he is also bringing coaches Frans Hoek and Marcel Bout with him.
Van Gaal told the club's official website: "It was always a wish for me to work in the Premier League.
"To work as a manager for Manchester United, the biggest club in the world, makes me very proud!

[h=3]Twitter[/h]
Ferdinand_3142286.jpg

[h=4]@rioferdy5[/h] Ryan Giggs retires today....so many gold medals he puts BA Baracus to shame! No player adapted their game as well & as effective as Giggsy

"I have managed in games at Old Trafford before and know what an incredible arena Old Trafford is and how passionate and knowledgeable the fans are.
"This club has big ambitions; I too have big ambitions. Together I'm sure we will make history."
Giggs is looking forward to working under another manager with the experience Van Gaal will bring to the club, having spent so many years as a player under Sir Alex Ferguson.
He said: "I am thrilled to have the chance to serve as assistant manager. Louis van Gaal is a world-class coach and I know I will learn a lot about coaching from being able to observe and contribute at such close quarters.

165012893_3575465970001_video-still-for-video-3575436834001.jpg

Louis Van Gaal has been appointed as manager of Manchester Utd with Ryan Giggs accepting the role of assistant coach.

"Manchester United has been a huge part of my life and I'm delighted to be able to continue that relationship in such a key role."
Chief executive Ed Woodward added: "In Louis van Gaal, we have secured the services of one of the outstanding managers in the game today.
"He has achieved many things in his career to date and Old Trafford provides him with a fitting stage on which to write new chapters in the Manchester United story.
"Everyone is very excited about this new phase in the club's history. His track record of success in winning leagues and cups across Europe throughout his career makes him the perfect choice for us.

165012893_3570422687001_video-still-for-video-3570405731001.jpg

Peter Schmeichel says Louis van Gaal's age and experience makes him a good fit for Manchester United.

"People know him as a larger than life character but I have also been extremely impressed by his intelligence, thoughtful approach to the role and his diligence. I'm looking forward to working with him."
On Giggs, Woodward added: "I'm delighted that Louis has chosen Ryan as his assistant. Ryan's association with the club spans over two decades and his knowledge and stature will be of great use to Louis.
"In addition, this is a fantastic opportunity for Ryan to learn his trade alongside a world-class manager whose attacking instincts and belief in youth are tailor-made for Manchester United."
And Joel Glazer of the club's owners, the Glazer family, said: "I am delighted that Louis will be our next manager.
"He has an outstanding pedigree as a coach, both as a man who motivates his teams to win trophies and as someone who believes in giving young players a chance to prove their worth.
"I am sure he will make a big impression on the club, the players and the fans."
 
kugombania nafasi ya nne kwetu itakuwa ni history muda si mrefu. Kuanzia msimu ujao ni kugombania ubingwa tu. Wenger kashasaini miaka 3 itatangazwa wiki hii pia kuna £100M za transfer atakazopewa summer hii kwa hiyo msahau kutuona tunagombania nafasi ya nne.

kwani hii ndo mara ya kwanza kwa wenger kupewa kitita cha hela?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom