Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nawatakia Xmas njema na Heri ya mwaka mpya wa 2010 wanamichezo wote wa humu jamvini JF(Wazee wa Mamn Utd,Chelsea,Liverpool,Tottenham,Man City),Bila kuwasahau wapenzi wote wa EPL,VodaCom Premier League,Ligi ya Zenji,Bundesliga,La Liga,Eredivisie,Ligue 1,Serie A Nn.k,nwatakia mafanikio ninyi binafsi na timu mzipendazo katika mwaka mpya wa 2010...Pamo jah
 
Belo at al mbona muko kimya hapa jamvini? Si mumeshinda Aisee.
 
Belo at al mbona muko kimya hapa jamvini? Si mumeshinda Aisee.

Si unajua tunamkimbiza Bluz? Tumeamua kukikmbiza kimyakimya.....
sasa bado point 2 tu...na mabeki wetu wameanza kurudi.
 
suala la manchester kwa kweli ni gumu japo tumkuwa tukishinda ila mpira wa ma u kwa ujumla uko chini ya kiwango well, nakubali kuna suala la majeruhi hasa katika nafasi za mabeki japo kidogo jana tumeanza kuonyesha uhai lakini pia pamoja na heshima kubwa aliyonayo Fergie na ambayo kwa namna yoyote ile hatuwezi kuivunja ila kuna wakati amekuwa ni chanzo cha timu kufanya vibaya, amekuwa na tabia ya kungangania kupanga baadhi ya wachezaji hata kama hawako kwenye kiwango kizuri kwa siku hiyo, yeye ni kocha hilo ni sawa lakini kwa mfano suala la kumweka benchi Anderson mara kwa marabinafsi haliniingii akilini, Berbatov ndio anamchango kwenye timu ila kuna baadhi ya mechi huwa anakuwa mzigo uwanjani nafikiri Fergie anataka kuonyesha kwamba Pound Mill 3o.1 alizozitumia kumnunua kutoka totenhan hakuwa amekosea ila Berb9 anauzi sana japo si mchezaji mbaya akiwa kwenye kiwango chake, anyway nafasi ya kutetea ubingwa bado tunayo kwani wazee wa darajani kidogo kasi imepungua ila the gunners mnatisha.
 
Si unajua tunamkimbiza Bluz? Tumeamua kukikmbiza kimyakimya.....
sasa bado point 2 tu...na mabeki wetu wameanza kurudi.

Hii sababu nimeipenda...Lol!!...wakija kurudi ndugu zenu toka ANGOLA, mtatukuta tupo juu tayari, na kama kawaida yetu, tukikamata usukani, mtajuuuuuuuta kutufahamu.
 
Heheh naona watemi wa Chelsea tumewatungua 5-0 tena.
 
Ngoja nifanye analysis ya timu yetu baada ya kufika katikati ya msimu

Goalkeper-Van de Sar bado yuko juu aendelee kuongezewa mkataba na Kuzask awe no 2 msimu huu ameimprove sana , Ben Foster kapewa nafasi akashindwa kuitetea

Defender-Hii idara ndio imetusumbua sana msimu huu Rio/Gnevile hawana kasi kabisa,napendekeza Evra na Rafael wacheze fullback .Centre wacheze Vidic na Evans but tatizo la Evans majeruhi kila siku

Midfielder-Kuna wachezaji wanapanda na kushuka kama Anderson/Carick.Pongezi kwa Fletcher na Giggs wametubeba sana.Valencia alianza vibaya but sasa keshazoea timu.Scholes naona kasi imeisha ,Nani auzwe tu.Tunahitaji kupata kiungo kama Hamsik au David Silva

Striker-Huku tunahitaji kuongeza Striker au Owen apewe nafasi.Siipendi fomesheni ya Rooney kucheza peke yake.Pongezi kwa Rooney sasa amekua nafikiri anastahili kupewa unahodha.Tunategemea kama goli 30 msimu huu
Nawatakia mashabiki wote wa MAN U heri ya mwaka mpya 2010
 
Kwi kwi kwi kwi..! Hongereni sana Manure kwa kuwafunga Leeds 1-0!
 
Kwa heshma na taadhima, naomba Mzee wetu mpendwa SAF astaafu sasa. Makosa aliyoyafanya ktk usajili yanatutesa sana.
 
Msijali lakini, mmepunguza mechi za kucheza msimu huu hivyo mtakuwa fit sana kwenye Premier League.
What a Cupset!!
 



Manure wamekwanguliwa sasa derby ya semi-final carling cup sijui akina nani watacheza maana fergi yuko hot khe khe khe khe.
 



Boss wa Leeds Simon Grayson aliyemliza Fergi.

Alex alisikika akisema ''I will wield the axe''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…