Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi hamjapata kocha mpya? Nakumbuka Mndengereko alisema hadi tarehe 6 mngekuwa mmeshatangaza kocha mpya. Imekuwaje?
Naona mmefunga msije mkaanza kusema "we are back at it" ni kiji-Hull City tu hiki.
\

hivi hiki kiji-Hull City si kininipe raha kwa kumfunga liji-Arsenal
 
kashawaangusha miaka 9 sasa!!! hata kwa birmingham carling cup aliwaangusha........

Hata mlipocheza na Birmingham City kwenye final "wagonjwa/flops" wenu walikuwa wamerudi kundini ila unakumbuka kilichotokea

Nani asiyejua kwamba lile lilikuwa kosa la Kipa wetu Na Beki wetu (mis-communication) na Martins akatuua!! Well...., Hayo makosa tushayapatia ufumbuzi mkuu na ndio maana tunahitaji some little changes ili tuchukue EPL mwakani ...kama tumeweza kuongoza ligi wakati tushacheza mechi zaidi ya 30 na tupo on top,ile sio bahati...kumalizia mechi 8 zilizobakia ni inshu ndogo ambazo tunazipatia ufumbuzi soon.

Shoto Kulia FA ya mwaka HUU inaenda kufuta vumbi na kuonyesha mapito ya vikombe vikubwa mwakani hasa EPL na CL...Take my words!! All #TEamHaters !!
 
kwani hii ni mara yenu ya kwanza kuongoza ligi mwanzoni halafu mwisho mna-flop??

Basi kuwa mpole tu...najua "Mid-Table" inawaumiza sana,manake mnakuwa "Washiriki" tu sio "Washindani", na maneno yenu 9 yrs trophless yamepatiwa mwarobaini, MAY 17...halafu mtakuja na "track" nyingine mtakayobuni.
Media zote macho juujuu kwa Arsenal, so FA TITLE FOR GUNNERS 2013-2014!! THE CHAMPTION.
 
we are not mid-table.....ligi ina timu 20 sasa mid table sio namba 7 wala 6.....labda 10/11/12.....we are closer to the top than the bottom....mid-table kutoka juu na kutoka chini ni sawa.
 
Hahaaaa ....unajua hata ukiwa na "UKIMWI" usipoikubali hali ile kwamba ni "MUATHIRIKA" basi utakufa mapema sana coz utaleta visingizio "kama hivyo ulivyosema hapo juu"...ila mwisho wa siku U will not survive...ni kujipa moyo tu,ila uhalisi ni kwamba we ni mshiriki kama "SUNDERLAND" tu.
Kinawachowaumiza zaidi ni "LENGO" kutotimia kucheza "UEFA" mwakani. Every top teams/players are dreaming to play "CL". So Naisubiri "MAY 17" kama vile mlinzi aingojeavyo kwa hamu "PAMBAZUKO". Hahaaaaa #TeamMburukenge
 
sasa man utd na arsenal wameshinda nini kwenye ligi msimu huu?? wote tumetoka mikono mitupu. sisi lengo letu ALWAYS ni ubingwa na tumefeli msimu huu. wewe unaeshangilia lengo lako ni nini?? NAMBA NNE.....speciality failure kashawaambukiza mmesharidhika na 4th place to such an extent it is an achievement for you.
 
Agha aagh...usiwe na pupa kijana RRONDO twende taratibu!! Mlipomkabidhi DAUD team mlisema lengo lenu ni kuwa top 4. Tuanze hapo. (Au nikupe link)? Hayo ya Ubingwa "ALWAYS" yametoka wapi?
Mii lengo langu limetimia. EPL nimeikosa lakini FA lazima niichukue mwaka huu, mwakani EPL ndani ya NYUMBA. Mark my words"
 
Last edited by a moderator:

hayo ni maneno ya kidiplomasia kumuondolea Moyes pressure ya media...karithi mabingwa hamna cha ajabu kudai ubingwa....sisi always tunafight ili tuwe mabingwa,tukishindwa poa next season....nyinyi mnagombea CL positions iwe 2,3,4 ubingwa kwenu sio muhimu msha-give up 9yrs ago.
 
Haatuja give-up mkuu!! Ndoo la EPL inabidi ukomae sana!! Kwa soka letu timu ndogo hazitusumbui kabisa, so next season inabidi tujijengee uwezo wa kuzifunga timu kubwa hasa CHELSEA na MAN CIty...Tukiweza hilo ndoo ya EPL inaingia kwenye droo za EMIRATES!!
Kama Chelsea kakaa miaka 50, City miaka 74, Liver miaka 24, then 9 yrs is "NOTHING". Na mtazamo ulivyo...MAnure atakaa sana(miaka mingi asilichukue hili ndoo la EPL)...Lets see,coz falsafa za SAF ni chafu na ndo zikiwabeba.
 
man utd atachukua hili kombe hata next season...jinsi msimu huu liverpool,man city,chelsea walivyombwelambwela na kombe lisilo na mwenyewe sioni sababu ya sisi kukaa muda bila kulichukua......unagombea kombe unaongoza 3-0 zina rudi zote!!! mwingine anafungwa ovyo sijui na crystal palace mara kafungwa na sunderland.....yaani hamna timu ya ubingwa sema kwa sababu mwenye ubingwa wake mgonjwa inabidi hawa viwete mmoja achukue kombe!!
 
Sky sources wakisema kitu huwa kinakuwa kweli.....hawa walisema Moyes anatimuliwa in 24hrs na ikatokea kweli sasa wanakuja na hii

[h=1]Sky sources: Manchester United set make Louis van Gaal announcement next week[/h]

100349826_3134863.jpg

Louis van Gaal: Expected to be named as Manchester United manager next week

Sky sources understand that an official announcement from Manchester United confirming Louis van Gaal as the club's next manager is not expected until next week.
Reports circulated on Tuesday that the former Barcelona and Bayern Munich manager could be rubber-stamped as David Moyes' successor as early as Wednesday.
But Sky Sports News reporter James Cooper believes United fans will have to wait for a formal announcement confirming the 62-year-old's appointment.
"I think it's a case of when not if, but that 'when' may be a little longer in the future than perhaps we imagined on Tuesday," he said.

165012893_3543354240001_vs-536a0c36e4b0e39a23fe144f-1592194027001.jpg

Van Gaal announcement delayed

"Certainly the information throughout the day was that there might be an appointment today (Wednesday), which coincides with Louis van Gaal taking charge of the Netherlands squad at a training camp this afternoon.
"The received information now is that Manchester United are very relaxed about the situation but we might not get an announcement rubber-stamping Louis van Gaal's appointment as Manchester United manager until perhaps as late as next week.
"He's the man Manchester United want. They have sounded out other candidates but Louis van Gaal is going to be Manchester United's next manager.
"I think Manchester United, quite understandably, want to get this season out of the way. It's been a disappointing season and next week they will unveil Louis van Gaal as their new manager."
Sky Sports' Gary Cotterill, reporting from the Dutch training camp believes it could be the middle of next week until Van Gaal's future becomes clearer - and understands United are not his only suitors.
"My sources from here in the Netherlands say it's quite correct that there will be no announcement this side of the weekend regarding Louis van Gaal going to Manchester United," Cotterill said.
"There won't be any announcement on Monday, nor - by my understanding - on Tuesday. The earliest any announcement will come is Wednesday.
"I also understand that no deal has been done, despite reports. Other clubs do remain in the running to sign him up after he finishes on Netherlands duty after the World Cup - both in the Premier League and inernationally."
 
Sky sources wakisema kitu huwa kinakuwa kweli.....hawa walisema Moyes anatimuliwa in 24hrs na ikatokea kweli sasa wanakuja na hii

Sky sources: Manchester United set make Louis van Gaal announcement next week

Atleast aje turudi kwenye ramani
 
man utd atachukua hili kombe hata next season...jinsi msimu huu liverpool,man city,chelsea walivyombwelambwela na kombe lisilo na mwenyewe sioni sababu ya sisi kukaa muda bila kulichukua......unagombea kombe unaongoza 3-0 zina rudi zote!!! mwingine anafungwa ovyo sijui na crystal palace mara kafungwa na sunderland.....yaani hamna timu ya ubingwa sema kwa sababu mwenye ubingwa wake mgonjwa inabidi hawa viwete mmoja achukue kombe!!

I am sure giggsy angechukua team badala ya moyes hili kombe tungechukua, sijaona wa kutuzuia.
 
Mashabiki wa Man U kila mmoja atafute anashaangilia team gani UEFA next season
 
Back
Top Bottom