Leo mtatupa record breaker nyingine?
Kuna Member mmoja aliwahi kusema rubaman kisirisiri anaipenda Man Utd.
Angalia chama linavyotuburudisha leo
Nimeanza kuamini maneno yake.
majirani niaje..
kweli naipenda Man Utd mnatupa raha msimu huu. Mnavunja rekodi baada ya rekodi. Afu mnajipa matumaini kuwa msimu ujao mtarudi juu LOL.
Hivi hamjapata kocha mpya? Nakumbuka Mndengereko alisema hadi tarehe 6 mngekuwa mmeshatangaza kocha mpya. Imekuwaje?
Naona mmefunga msije mkaanza kusema "we are back at it" ni kiji-Hull City tu hiki.
Hivi hamjapata kocha mpya? Nakumbuka Mndengereko alisema hadi tarehe 6 mngekuwa mmeshatangaza kocha mpya. Imekuwaje?
Naona mmefunga msije mkaanza kusema "we are back at it" ni kiji-Hull City tu hiki.
tutakuwepo pale WEMBLEY kuwashuhudia mkipambana na kiji-Hull City.....Usisahau kiji-Birmingham kimekufanya usubiri kombe miaka 9 sasa.
Half Time
Sisi 1 Wao bila
GGMU
haya nahisi kama yale ya jana....!?
Jitahidi mnaweza kuingia Europa League mwakani.