MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Jaribu kupitia na hapa ukipata muda!!
www.worlclubrankings.com/100.htm
Kuna kitu utapata hapo cha ziada!!!
Just google it..
www.worldclubrankings.com/100.htm
nlikosea hapo kwenye neno world!!
Jaribu kupitia na hapa ukipata muda!!
www.worlclubrankings.com/100.htm
Kuna kitu utapata hapo cha ziada!!!
Just google it..
naona hii link yako inanipeleka kusipojulikana...mawazo ya google ni mitazamo tu kama vile ulivyomtizamao wako MosDef wa JF so naomba niuone mtizamo wako mkuu "which is a biggest club in the world and why.."
Manure is NOT BIG TEAM anymore...SORRYHivi mara ya mwisho mliifunga Man United lini...??
Manure is NOT BIG TEAM anymore...SORRY
Mimi nina uhakika msimu ujao tunairejesha ndoo yetu bila kikwazo chochote. Ngoja majirani zetu wa hapo mtaa wa pili watuhifadhie.
Yeah, van gaal akiweka sawa pale kati basi mteremko tu
......Coming to the end of the EPL season,
will miss you guys,.....
Muwe na mapumziko mema mpaka tutapokutana tena kwenye banters za transfers,
pre-seasons na New 2014/2015 EPL season.
Thanks for the fun kamanda Nzi, Belo, Mndengereko, mfarisayo et al...
tukutane tena siku si nyingi zijazo, #MwenyeziMunguAkipenda ,
Amen.
It has been along journey..special thanks to you Nzi for being here for Manchester United
Juu Yao ni Spurs na si Arsenal.Man Utd mnashangaza jinsi mnavyoshangilia ushindi wa City eti kombe limebaki Manchester.. Ajabu sana. Hutawahi kuona mpenzi wa Arsenal akishangilia ubingwa Tottenham halikadharika hutaona Tottenham wanashangilia ubingwa wa Arsenal au kuona Everton anashangilia ubingwa wa Liverpool na kinyume chake,Vile vile hutaona Inter na Ac Milan wakishangiliana ubingwa wa kila mmoja. Hii inaonyesha jinsi wapenzi wengi wa Manchester Utd mlivyo bendera fuata upepo. Mnaonaje msibadili jina la thread hii kuwa MANCHESTER UNITED CITY SPECIAL THREAD. See you next..