Hahahahah 2 -0
Wilson Again
rubaman labda hatumuhitaji Cavani tena, Wilson yupo anatekeleza majukumu yake vizuri
18 years old anatafuta Hat Trick sasa
Watangazaji bana wameshaanza "Wilson for England Campaign"
2-1
Wigan wamefunga
Giggs anakula jaramba hapa tayari kwa kuingia!
Wilson the next Federico Macheda? Ebana zaidi ya England utasapoti timu gani katika Kombe la Dunia? DonDonald
Anzishieni Thread ya World Cup mida inakaribia.
RVP is back again lol
Man Utd 3
Macheda day sijui bado yupo kwenye payroll ya Utd, jamaa nilihisi atakuwa ni bonge la striker{nikikumbuka lile goli alilowafunga Villa}
World Cup nina support England tuu lol
Hull City inabidi wachezaji wake wasiumie umie ovyo
Wana jukumu moja kubwa la kuweka heshima mjini Wembley
#TeamHullCity rubaman
karibu utoe stress.....umemuona huyo dogo Wilson??