Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunaomba usajili wa maana msimu ujao vinginevyo hii timu ata akipewa kocha wa aina gani hatuendi popote.

Ngongo, unafurahiaje maisha ya timu yako mpya, Man Utd? Vipi mambo yakizidi kuwa mabaya Manchester Utd utawakimbia kama ulivyofanya kwa Arsenal "Nimeacha kuishabikia Arsenal"? LOL ile article ilikuwa nzuri.
 
Mkuu rubaman maisha Manchester ni mazuri msimu huu ulikuwa mbaya kwetu nilitegemea tungeyumba kidogo kwasababu Sir Alex aliamua kupumzika baada ya kuongoza Manchester kwa muda mrefu sana ni moja ya sababu kuu pia kikosi kilihitaji kukarabatiwa sana kitu ambacho Alex hakikufanya kama unaifuatilia Man ilikuwa na tatizo la kiungo tangu Roy alipolazimishwa kuondoka.

Mwisho Ngongo wa JF hajawahi hata siku moja kuwashabikia Arsenal ile story ilikuwa ni moja ya mbinu zangu za kuwachokoza mashabiki wa Mzee Bean bahati nzuri wengi waliingia kichwa kichwa isipokuwa mshabiki mmoja wa Arsenal Wacha1 aligundua nawatania.

Ngongo MAN 4 LIFE.

Last edited by a moderator:
Duh hadi lini?? Anzeni kufukuza na wachezaji sasa...

Hell NO!
Ingekuwa kufukuza wachezaji ni deal, basi wangeanza washika mikuki. Hawa kila mwaka wanaongoza ligi, ukianza msimu wa pili wote wanakuwa wagonjwa, wanaanza kukimbizana na nafasi ya nne. We are NOT that LOW!
 
10268671_1034731503233732_3076264266329509011_n.jpg
 
ok ok kama hii ina make sense basi msimu huu tutakuwa na mabingwa wawili....arsenal 2013 then liverpool 2014....maanake arsenal aliongoza first half liverpool kapata points nyingi second half of the season.
 
Mkuu rubaman maisha Manchester ni mazuri msimu huu ulikuwa mbaya kwetu nilitegemea tungeyumba kidogo kwasababu Sir Alex aliamua kupumzika baada ya kuongoza Manchester kwa muda mrefu sana ni moja ya sababu kuu pia kikosi kilihitaji kukarabatiwa sana kitu ambacho Alex hakikufanya kama unaifuatilia Man ilikuwa na tatizo la kiungo tangu Roy alipolazimishwa kuondoka.

Mwisho Ngongo wa JF hajawahi hata siku moja kuwashabikia Arsenal ile story ilikuwa ni moja ya mbinu zangu za kuwachokoza mashabiki wa Mzee Bean bahati nzuri wengi waliingia kichwa kichwa isipokuwa mshabiki mmoja wa Arsenal Wacha1 aligundua nawatania.

Ngongo MAN 4 LIFE.

Hahaha ilikuwa obvious kwamba hukuwa mshabiki wa Arsenal. Maana tunasema OGABG Once a Gooner Always Be a Gooner. Nilikuwa nakuuliza kutokana na Article.
 
Manchester United v Hull City: Live Team Sheet

Manchester United:-De Gea, Valencia, Jones, Smalling, Büttner, Carrick, Fellaini, Kagawa, Januzaj, [Tom] Lawrence, [James] Wilson.

Subs: Amos, Vidic, M.Keane, Giggs, Young, Van Persie, Mata.
 
Ha ha haaaa leo tumewekewa hadi watoto wa shule ngoja tutaona...bado dakika 15 ngoma ianze.
 
Leo kocha Giggs on pitch dadeki nataka nione vile itakuwa coz ndo mara yangu ya kwanza kushuhudia hii mambo ya namna hii
 
Ha haa hii man u hatari sana yaani kocha kajiweka sub....
leo kocha giggs on pitch dadeki nataka nione vile itakuwa coz ndo mara yangu ya kwanza kushuhudia hii mambo ya namna hii
 
Leo kocha Giggs on pitch dadeki nataka nione vile itakuwa coz ndo mara yangu ya kwanza kushuhudia hii mambo ya namna hii

GIGGS ana rekodi ya KUFUNGA GOLI KILA MSIMU WA PREMIER LEAGUE kasoro msimu huu....kwahio ana mechi mbili tu ili alinde rekodi yake....i hope refa atampa penalty.
 
Back
Top Bottom