Wenzako wanadai, wataleta Established World Class Players msim ujao..nikawaambia hicho kitu hakiwezekan kwa sasa, ukilinganisha na hali ya Manure utd sahiv..
Manure utd sahiv, itanunua squad players, au kufanya major signings ambazo zitatengeneza world class players, Mfano mzuri Rooney, Ronaldo, van der sar, lakin sahiv huwez kuwaleta kina Aguero, suarez, Kroos, Diego costa , Messi na wengneo ambao wanatambulika kama World class players kwa sasa..
Suala hapa ni kuwavutia World class players, na siyo kununua wachezaji wazuri, ambao baadae wanaweza kuja kuwa world class, kila team ishafanya hivyo, Mfano torres, suarez, owen kwa liverpool, Rooney, Ronaldo, Vidic kwa Manure, Toure, Aguero, Silva kwa Man shitty..hao sahv washatengeneza profile kubwa, na among of the world class players kwenye hii generation yetu..!
Suala, Je unaweza ukawakonvince hao wachezaji waje hapo Manure kwa current stuation uliyopo??..au kununua Top class players na kuwafanta wawe world class players..?!!!
Mkuu nimekufatilia kwa ukaribu sana posts zako..na nimezigroup into three parts:
1.During Moyes (tragedy era)
2. Moyes sacked (end the tragedy)
3. Giggs Time (bring back the hopes)
Ntaanza na part 1. "During Moyes time" wewe na anti MUFC wenzako mlikua mnafurahia sana downfall ya Man United..mkichekelea hapa records mbovu za matokeo mabovu tena OT...
Part 2. "Moyes sacked " we na wenzako mapigo ya moyo yakaongezeka ooh Moyes angepewa muda ooh u made a mistake..
Part 3. Giggs time..bado tena we na wenzako mnaponda ooh game la kwanza ooh atashindwa nae..ooh blah blah blah...we umekuja na hoja nyingine we can't afford to get world class player..blah blah blah
For God seek why do you hate Manchester United this much..yahani mpk unapata wivu..
For your information hata uichukie MUFC kiasi gani MUFC ni timu kubwa sana ulimwenguni ni super bland na hiyo haitaweza kupotea with the fact that tuko nafasi ya 7 EPL au hatushiriki CL next season..
We will come as united again next season to conquer and dominate EPL again...if you have a problem with that anza kujiua mapema..
Kwa manaeno ya kishabiki, ni easy sana kusema mtadominate EPL again msim ujao..
kama unajua hilo basi ndo ujue mpira pesa sio unashiriki ucl au hushiriki?? watu wanaaangalia pesa kwanza.then mengine yanafuataFergie aligoma kumeet the price tag, ndo maana dogo akaenda PSG..
Hujui hilo??
the way ambavyo wachezaji walicheza kipindi cha moyes katika mechi ya kwanza unaona sawa na jinsi ambavyo walicheza katika mechi ya jana??? alafu kumbuka kippindi cha pre season tulikuwa tunafungwa hata na timu ndogo za kutoka asia au wewe mechi ya kwanza unaconsider community shield incase kama ulisahau moyyes alianza kufungwa tokeapre season ,tofauti na giggs ambae kaanza kwa kushindamechi ya ligi/ushindaniWachezaji huwa wanajituma wanapopata kocha mpya. Don't read too much into mechi ya kwanza, hata Moyes alishinda mechi ya kwanza PL
kwa sababu kawapa wachezaji confidence kawaambai wasiogope wala wasipanick warelax na wacheze mpira n wacheze in a man utd way na wawape fans kile wanachodeserve adn to be honest we did get it yesterday,thats how coach should motivate his players hata galasa langu jana cleverley liliperform acha kabisa.Naona Giggs anatakata.
ferguson alikuwa analeta kiwingu alikuwa ana mingia kifua katika baadhi ya mamboDah amani imetoweka sasa English Premier League
Mwenye Nyumba karudi
Dah kwanini Moyes hakuondoka mapema?
if thats the case bora asiletwe ila pia ndo maana nilisema baadhi ya majukumu ya director of football man u yanatekelezwa na edwoodward hasa hayo ya usajili. so kwa man u hakina ulazima saaaana.kwa madrid najua alikuwa zidane ila baada ya kuwa assistant coach sijui sasa hivi hicho cheo anachoa nani?Kama umeanza kufuatilia soka kwa muda mrefu utakuwa unajua jinsi gani hicho cheo kinavyoleta mushkari katika kila timu zinazokuwa nacho. Makocha/managers wengi wameshaachia ngazi sababu ya kuwepo kwa Director of football. Sababu kubwa ni kuwa power ya makocha inakuwa imelimitiwa hasa linapokuja swala la usajili pia badala ya kocha kuripoti direct kwa chairmen, vice chairmen au owner ataripoti kwa director of football. Juzi juzi Newcastle walimleta Joe Kinnear awe Director of Football akaondoka baada ya kutoelewana na Pardew pia kwa kufanya kazi mbovu. Anyway,Man United wakileta director of Football itazidi kuwa vizuri kwa timu nyingine.
na pia kuna rumours van gaal anamtaka keane awe miongoni mwa member wa benchi lake la ufundiiMan United haijawahi kuwa na cheo kama hicho jamaa anashauri wakiweke ili kiweze kumsaidia kocha a-concentrate na kufundisha,cheo kinamfaa ex United player ambao Keane,GNeville,Giggs,Bruce,Robson,Scheimichel wanaweza hiyo kazi,Woodward hawezi hiyo kazi.Tatizo ni kwamba kuna baadhi ya makocha hawataki kufanya kazi na hao watu nakumbuka Jose aligombana na Grant Chelsea then akamkataa Valdano na Zidane pale Madrid.
Kuna rumours kuwa Van Gaal nae atakuja na wasaidizi wake kina Kluivert so huenda akawaondoa staff wa Giggs
the way ambavyo wachezaji walicheza kipindi cha moyes katika mechi ya kwanza unaona sawa na jinsi ambavyo walicheza katika mechi ya jana??? alafu kumbuka kippindi cha pre season tulikuwa tunafungwa hata na timu ndogo za kutoka asia au wewe mechi ya kwanza unaconsider community shield incase kama ulisahau moyyes alianza kufungwa tokeapre season ,tofauti na giggs ambae kaanza kwa kushindamechi ya ligi/ushindani
Kwa manaeno ya kishabiki, ni easy sana kusema mtadominate EPL again msim ujao..
Mkuu kwa kawaida mechi za Pre-season,friendlies hazihesabiki na haziwekwi katika resume ya kocha,timu au mchezaji. Ndo maana mchezaji anaweza kufunga magoli 20 ktk mechi ya friendly na hutasikia hayo magoli yakihesabiwa ktk historia yake unless Romario(aliyeyaorodhesha LOL). Pia kama ungesoma vizuri nilimaanisha Moyes alishinda mechi ya kwanza ya ligi PL(Premier League) na historia inaonyesha wachezaji huwa wanajituma kumpendezesha Kocha mpya ktk mechi yake(kocha) ya kwanza.
Tulishinda mechi ya kwanza ya EPL (Swansea) ila it wasn't a beautiful play kwa upande wetu sio hiyo tu hata Newcastle tuliwapiga nne juzi juzi hapa..na I am telling you hata angekuwepo Moyes jana tungeweza shinda hiyo mechi ila swali ni kwamba tunacheza mpira mzuri au Manchester's way..ni attacking football..?? Do you see desire on face of Manchester's players..nafikiri jana uliona sub alizofanya Giggs..Chicharito..Mata na Young wote hao ni wasaka magoli there was no point he thought of defending hata kama tulipata magoli mapema...Moyes was a "defensive mind " manager na mbaya zaidi with this approach wachezaji wakawa demoralized..nadhani ulikua unaona body language ya wachezaji kila mechi...
Alichofanya Giggs sio kikubwa sana ni kuboost morale ya wachezaji na kurudisha confidence kwenye dressing room ndio maana jana umeona shots zaidi 11 in single game wakati haijawai tokea muda wote yupo DM
Ndio maana baadhi ya fans wanamuona Giggs apewe moja kwa moja timu (ingawa binafsi naona bado hajapata experience ya kutosha)
All in all Moyes wasn't that bad but he didn't couple well with Manchester's way hii timu haikuwa mbovu kiasi hicho
Kumbe unajua Price tag ndo kila kitu, sasa mbona unakuwa mbishi?Fergie aligoma kumeet the price tag, ndo maana dogo akaenda PSG..Hujui hilo??
Wenzako wanadai, wataleta Established World Class Players msim ujao..nikawaambia hicho kitu hakiwezekan kwa sasa, ukilinganisha na hali ya Manure utd sahiv..
Manure utd sahiv, itanunua squad players, au kufanya major signings ambazo zitatengeneza world class players, Mfano mzuri Rooney, Ronaldo, van der sar, lakin sahiv huwez kuwaleta kina Aguero, suarez, Kroos, Diego costa , Messi na wengneo ambao wanatambulika kama World class players kwa sasa..
Suala hapa ni kuwavutia World class players, na siyo kununua wachezaji wazuri, ambao baadae wanaweza kuja kuwa world class, kila team ishafanya hivyo, Mfano torres, suarez, owen kwa liverpool, Rooney, Ronaldo, Vidic kwa Manure, Toure, Aguero, Silva kwa Man shitty..hao sahv washatengeneza profile kubwa, na among of the world class players kwenye hii generation yetu..!
Suala, Je unaweza ukawakonvince hao wachezaji waje hapo Manure kwa current stuation uliyopo??..au kununua Top class players na kuwafanta wawe world class players..?!!!
26 years of experience as a player not as a Manager..